Fiorentina, Sparta prague, Dynamo kyiv, Tottenham, Internazionale, Villarreal, celtic, Borrusia M'gladbach, Sevilla
Mkuu possible za leo hizo hapo. Chagua mwenyewe
Fiorentina, Sparta prague, Dynamo kyiv, Tottenham, Internazionale, Villarreal, celtic, Borrusia M'gladbach, Sevilla
Mkuu possible za leo hizo hapo. Chagua mwenyewe
View attachment 189914 wale wazee wa wire jaribun hapa (blue) me binafs nimeweka 3500 retun 43000 na vchenjchenji
OK mkuu sasa ukiingia kwenye deposit unakuta options 3 hizi hapa chini, ukiclick hiyo ya kwanza inakupa credit na debit options na hiyo pop up hapo chini, sina hakika kama hapa ndio tunajaza hizo info za hiyo bet card voucher, na pia hizo card tunapata wapi mkuu.
bet card ndo hiyo
Wolfsburg.........................WIN
Fiorentina.......................WIN
Inter.....................WIN&2+
Wacwac wngu ni hapo kwnye hendkepu
Sawa kabisa mkuu, nimefanya home work ya kwenda pale new Africa nimechukua hiyo ya $ 10 kwa kuanzia.
Wazee wenzangu mimi nipo mwanza hizo bet Card huku hakuna yani nimejikatia tamaa baada ya kupa hizo habari za hiyo Card
Mbona nmedraw hela meridian mpaka.sasa haijaingia mpesa