Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

CEO umeona habari ya Ronaldo! By the way nilifata ushauri wako sikuweka kitu ila jamaa kapiga goli dkk za majeruhi.

Mkuu Bwin.com wako vizuri katika option za basket. Maana wanaweka mpaka dakika zinavyokwenda. Pia wana mechi nyingi.
 
Football inalipa kama utakuwa hauna tamaaa
Na uwe unabet kwanzia 50,000 kuendelea
HII NI MBINU NNAYO ITUMIA MIMI KUMLA KANJIBAH WA MERIDIAN
HUWA NABET live NA before match start
NA HUWA NA BET MATCH 1
NA NIKIZIDISHA NI MBILI AU TATU MARA CHACHE IKITOKEA
HUWA NATUMIA....MBINU YA
(half with more goals) KWENYE GAME ZA live
NA HUWA NATUMIA MBINU YA (home team win both halves HW2... or ... away team wins both halves AW2) hii huwaga ina zaidi ya 2.50 kuendelea SO HUWA NIKIWEKA LAKI OR HAMSINI HUWA NATEGEMEA MKWANJA WA LAZIMA NIPATE
NA UKWELI NI KWAMBA SIKU AMBAZO SI MLI HUYU MDOSI NI CHACHE SANA KULIKO NAZO MLA
FUNGUKAA👀👀👀👀👂👂 FUTBOL INALIPA KULIKO KIKAPU
KWA SABABU PRESHA YA KUSUBIRI MATOKEO NI ILE ILE
HAKUNA URAHISI KWENYE KUBASHIRI SPORTS
 

Umesomeka vilivyo mzee, ila hii biashara inabidi uwe vizuri nyanja tofauti tofauti.
 
Leo jamani Afrika twampa nani maana naona odds chache ile mbaya
 
Hii biz ni uwe umetuliza akili tamaa weka kando
Kama una nyota ya punda
Ni ya punda tuu
Hata uhamie
Bwin.com
Bet365.com
888bet.com
Betathome.com
Ladbrokes.com
Bado nyota itabaki kuwa ile ile
Ulianzia ladbrokes enzi hizo nabetia New arusha hotel na safaris haya ukaja ukahamia premierbet uka hamia meridian na sasa ivi ndio huyo unaenda kwenye CARd ambayo inaletaga usumbufu benk kwenye pesa
 
Umesomeka vilivyo mzee, ila hii biashara inabidi uwe vizuri nyanja tofauti tofauti.

Haahaahaa..! Kama professional player vile, inatakiwa upige miguu yote plus kichwa nk.

Kupitia betting nimejifunza michezo kama Tennis, Basket, volleyball, Chess. Na nina mpango wa kujifunza NFL na Baseball maana naona huku pesa ndio ipo.
 

Mkuu kikapu ni rahisi sana. Mimi wiki hii toka jumamosi nishamtandika kanjibai kama laki 5 hivi. Huwa napenda bet under na over. Hii haiitaji analysis kabla ya mechi. Palepale wakati mechi inaendelea unaweza tathmini ni under ama over. Mimi huwa nabet 50,000 na return yake huwa ni twice most of times.

Nimegundua NFL pia kuna pesa. Nataka nijifunze nayo inachezwaje.
 
Nop we laki tano toka jumamosi
Mi jana tuu asubuhi 150
Mcha 104 saa kumi na moja 201 usiku nikapigwa 50
FUTBOL INALIPA KWA MBINU ZANGU
POINT NI 2.50 KUENDELEA
 
Leo kuna
rijieka
Videoton
Goyr
Nk wapo kazin kukupati hela kiulaini........
Naaanza na game ya anzhi saa nne asubuhi
 
Nop we laki tano toka jumamosi
Mi jana tuu asubuhi 150
Mcha 104 saa kumi na moja 201 usiku nikapigwa 50
FUTBOL INALIPA KWA MBINU ZANGU
POINT NI 2.50 KUENDELEA

Inategemea na odds za mechi, nacheza 30000 mpaka 50000 kwa mechi. Na kwa siku nacheza game moja au mbili. Nikiwa na faida napumzika zangu
 
@xzy123 jana asubuhi nlitoa tip ya 150 kwa 50 ukaidharau
Mchana nikatoa tip ya brazil ya 104 kwa 30 ukaMUTE
Jioni sikutaka kutoa tip ya Uzbekistan ya 201 kwa 25
Hahahahahhahaha unataka upeweje hela
Acha kutanga tanga na ndio maana jana nliomba watu wanaojiamini kwenye futbol 150 tutengeneze group kwenye whatsapp or telegram mkadharau
 
Haahaahaa..! Kama professional player vile, inatakiwa upige miguu yote plus kichwa nk.

Kupitia betting nimejifunza michezo kama Tennis, Basket, volleyball, Chess. Na nina mpango wa kujifunza NFL na Baseball maana naona huku pesa ndio ipo.

NFL nitaipitia vizuri, nizijue timu ila sidhani kama nitaielewa!
 

Hahahaahaa..! Kaka toa na leo tip. Muda ule basket ilikuwa ishanichanganyia.
 

Mzee mwenzetu sio kwamba tulidharau, watu wanaona huu uwanja ndio mzuri, you stay a bit invisible. kama mdau mmoja alivyosema tunaweza kuendelea kuutumia huu uwanja unakuwa ni mzuri.

Hii biashara ya kamali wengine tunaicheza kimya kimya kiasi cha kwamba kama una mwenza humwambii, sasa akija akaona simu kuna discussions za betting unaweza kutengeneza bifu (hii ni kwa baadhi nadhani).

Kibongo bongo bado hii biashara haijawa ya matangazo kiivyo, pole pole tutafika, ila mkuu we endelea kutoa tip na sisi kama kawaida tunafanya hivyo.

Huu uwanja ni mzuri, na tunatakiwa kuwa active zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…