Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hiyo mikeka ya timu nyingi muwe mnaweka hapa hili wengine tupate angalau mikeka mitatu ya timu tatu tatu.Pole
 
Bonas ya asilimia mia ni baada ya wewe kujihandikisha kwao
Na ukisha deposit pesa kwa account yako
Kuna codes unatumiwa Kwa mail account yako
So unaenda unaziingiza pale kwenye section ya bonas unapewa bonas ya ile ela uliyo deposit......
 
Jaman hebu changieni hili ili nijue naangusha mzigo mzitoo zaidi au niache huo huoe
 

Attachments

  • 1413612763845.jpg
    55.3 KB · Views: 123
Valencia,sevilla,Ac Milan,na Anderlecht kwa product odd ya 15.9 Leo pesa ipo wakuu.

Betting ni umalaya na mi ni Malaya niliyekubuhu..!
 
Mkuu, vipi bet365 walikupa bonus ya $100. If yes uliweka kiasi gani ukapewa hiyo bonus.?

Unapewa 100% ya hela unayoweka. Mimi niliweka 10$ nikapewa 10$ ukiweka 20$ utapewa 20$ mwisho kabisa ya bonus ni 100$
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…