Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wazee wenzangu hiki kilinge nawaachia kwa muda, jana network ilinigomea kuweka mkeka wangu ila ikanisaidia kwa sababu Arsenal angeuchana!

Napumzika kwanza, nikirudi ni full force.
 
Jana network ulinigomea ila nikaforce kwenda betshop
Kubet arsenal akanijaza mimba isiyo na baba
 
Naomben¨¬ msaada nina elf 10 nataka niwe na elf 20 kesho,Liverpool,atl madrid,sevilla&valencia.Nataka timu 2 kati ya hzo 4.
 
Dollar zangu zimeenda kisa Juventus yaaani ningejua hata nisingekupa
 
Juve jana kanitoa mtaji wangu wa dollar 201 shenzi sana yule
 
Wazee wenzangu hiki kilinge nawaachia kwa muda, jana network ilinigomea kuweka mkeka wangu ila ikanisaidia kwa sababu Arsenal angeuchana!

Napumzika kwanza, nikirudi ni full force.

Hajahaha mkuu vipi tena?? We si ulitangaza vita na muhindi, ama zake ama zako, mbona unamkimbia sasa haha
 
Jana nliweka 1000 nkala 32800....
Chelsea win&3+
newcastle win
Westham win
Everton win
Soton win...
 
Hajahaha mkuu vipi tena?? We si ulitangaza vita na muhindi, ama zake ama zako, mbona unamkimbia sasa haha

Nimegundua Muhindi ana Jet mi natumia Helcopta za kawaida, nahitaji mtaji mkubwa ili niwe nakula kidogo kidogo hadi zifike nyingi. Utaratibu wa kutafuta 200,000/- kwa kuweka 10,000 ni wa kibahati sana sana.

Ila ukiwa na M2 kwenye account, kupata hata laki 4 mpaka 5 kwa wiki inawezekana. Napigia hesabu ya business yenye return ya 25%.

Kuna timu saa hizi nimeshazisoma ni za kutengenezea hela, Chelsea, Barca, Real Maldrid, Roma na kwa mbali Munic! Hizi siku zikikunyima hela ni bahati mbaya sana, so nikibet mbili kati ya hizo nikazipa laki 5 sikosi laki 3!
 
Mtaji wote kala, hapa naugulia na hiyo ni kauli ya kushindwa. Ila ninapumzika kwa muda usiojulikana.
 
leo nimewapa Marseille,cruzeiro,liva,bordeaux,valencia na atletico madrid.....tayari Marseille,athletico na liva washashinda....nimeweka 4000 nipate 75000
 
Nimegundua Muhindi ana Jet mi natumia Helcopta za kawaida, nahitaji mtaji mkubwa ili niwe nakula kidogo kidogo hadi zifike nyingi. Utaratibu wa kutafuta 200,000/- kwa kuweka 10,000 ni wa kibahati sana sana.

Ila ukiwa na M2 kwenye account, kupata hata laki 4 mpaka 5 kwa wiki inawezekana. Napigia hesabu ya business yenye return ya 25%.

Kuna timu saa hizi nimeshazisoma ni za kutengenezea hela, Chelsea, Barca, Real Maldrid, Roma na kwa mbali Munic! Hizi siku zikikunyima hela ni bahati mbaya sana, so nikibet mbili kati ya hizo nikazipa laki 5 sikosi laki 3!

Hilo ndio jambo la msingi... Ila buku kwa laki utapata ukichaa bure
 
leo nimewapa Marseille,cruzeiro,liva,bordeaux,valencia na atletico madrid.....tayari Marseille,athletico na liva washashinda....nimeweka 4000 nipate 75000

Duh ulijilipua sana kuwapa liver, si uliona ugonjwa wa moyo ule?
 
Back
Top Bottom