Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

oyoooooooooo Screen Shot 2014-10-20 at 12.03.55 AM.png
 
Zifuatazo ni timu zakuweka kwenye red alert yaani kama unaweka mkeka usiziamini kabisa-Lille,Arsenal,Bastia,Norwich na leeds pia...kwahiyo hawa mabwana kabla hujaweka mzigo jiulize kama mara 200ivi.
 
wakuu mbona mnalalamika sana humu , wakat mi natengeneza almost kila siku $10+, na wikiendi around $30.mambo yakikaa fresh soon (yaani mtaji ukifikia level ninayotaka mimi) siku za kawaida ntakua natengeneza $20+ na wikiends $60 au zaid coz gemu huwa ni nyingi, sema ubize unaniangusha sometimes......
 
Mkuu leo weka mkeka m1 niucopy manji amenifilisi vya kutosha
 
Hilo ndio jambo la msingi... Ila buku kwa laki utapata ukichaa bure

Kuweka weka buku sio biashara, ni kujifurahisha.

Ona tofauti: Makampuni yanafanya ile kama business, eti sisi wateja tunaifanya kama kujifurahisha! Hizo mentality inabidi zichange, na wateja waichukulie kama business pia.
 
Tokea nimehama Meridian na wenzao kila siku lazima nile dollar 100+, toka Ijumaa hadi leo dollar 500+
 
Back
Top Bottom