Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Jamani msimsahau porto,lile na bilbao. Huo ni mkeka wangu wa kutemea kushoto nafukia kulia
 
duh gemu za kujilipua siku hiz hakuna, mpira umebadilika sana

final win siku hizi team hazitabiriki, labda tuangalie option nyinginezo,

nataka nijilipue gemu ya juve niweke milioni nipate laki 4 lakini naogopa sana,
 
Hiyo milioni afazali ukafanye shughuli nyingine..,, kwa sasa mpira umechafuka..
 
Wakuu Hivi kuna option ya total goals 1+ au 2+ kwa meridian ? Kama ipo Inaitwaje hiyo option ?

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
mkuu zipo niliweka gamba osaka kaniharibia nilimpa 2+,nenda kwenye Goals utajionea kuna option nying tuu 1+,2+,5+,7+,4+ n.k
 
duh gemu za kujilipua siku hiz hakuna, mpira umebadilika sana

final win siku hizi team hazitabiriki, labda tuangalie option nyinginezo,

nataka nijilipue gemu ya juve niweke milioni nipate laki 4 lakini naogopa sana,

Acha utaua watoto baba Jeni weeee!!
 
duh gemu za kujilipua siku hiz hakuna, mpira umebadilika sana

final win siku hizi team hazitabiriki, labda tuangalie option nyinginezo,

nataka nijilipue gemu ya juve niweke milioni nipate laki 4 lakini naogopa sana,

Mkuu kma hata ikiliwa haitakuumiza weka kk maana bet kwa kiwango ambacho hutoumia kk.ila watu wanalalamika bas kuna game leo zilikuwa given kabsa kma city,chelsea,roma na madrid hata cska москва
Tatzo tamaa
 
Dah!leo ulikua upepo wangu!! Screen Shot 2014-10-19 at 12.12.26 AM.png
 
Wakuu nina elfu 10 na natakaiwa niwe na elf 20 j3!vp liv,at madrid na sevilla?
 
Hiyo jana sitoisahau milioni nne na laki mbili zimepita kwenye macho yangu kisa
Timu niipendayo Arsenal
Kushindwa kushinda 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
 
Back
Top Bottom