mathematics
JF-Expert Member
- Feb 21, 2012
- 3,322
- 1,110
Hapo ndipo panapo nitisha
Sijui niwaweke
Chelsea U21
Malmo hawana dhamana
Hapo ndipo panapo nitisha
Sijui niwaweke
Chelsea U21
nimempa malmo liwalo na liwe.
duh gemu za kujilipua siku hiz hakuna, mpira umebadilika sana
final win siku hizi team hazitabiriki, labda tuangalie option nyinginezo,
nataka nijilipue gemu ya juve niweke milioni nipate laki 4 lakini naogopa sana,
Wakuu Hivi kuna option ya total goals 1+ au 2+ kwa meridian ? Kama ipo Inaitwaje hiyo option ?
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
nimempa malmo liwalo na liwe.
duh gemu za kujilipua siku hiz hakuna, mpira umebadilika sana
final win siku hizi team hazitabiriki, labda tuangalie option nyinginezo,
nataka nijilipue gemu ya juve niweke milioni nipate laki 4 lakini naogopa sana,
duh gemu za kujilipua siku hiz hakuna, mpira umebadilika sana
final win siku hizi team hazitabiriki, labda tuangalie option nyinginezo,
nataka nijilipue gemu ya juve niweke milioni nipate laki 4 lakini naogopa sana,
Acha utaua watoto baba Jeni weeee!!
Hiyo milioni afazali ukafanye shughuli nyingine..,, kwa sasa mpira umechafuka..