Rockcity native
JF-Expert Member
- Dec 31, 2012
- 2,174
- 1,445
- Thread starter
-
- #5,761
Nimempa man u win after kufungwa
Nimempa man u win after kufungwa
hahah mkuu ondoa shilingi.
Same here Mkuu,naangalia game kwa jicho moja dk ya 88'
Yaani wakuu kiukweli leo man u kaniudhi sana japo huwa simpendi leo nilimpa win baada ya yeye kufungwa ila ndo hvyo tena.
Kesho nayo siku leo nimekosa dollar 104 kiuzembe sana
Man u kanilisha elf 10 ya nne toka msimu umeanza!!!
duh kwahiyo kupiga pesa mingi, sio kuweka mzigo mkubwa ati? ni kuwa na bahati au kuziotea tu??Au uyu jamaa naye kabutua 500 kwa m2 chek me odds ya hatar
pole sana, ulipoweka mzigo alikua kapewa odds ngapi?
duh kwahiyo kupiga pesa mingi, sio kuweka mzigo mkubwa ati? ni kuwa na bahati au kuziotea tu??
wacha kaka, juzi mtu kaliwa m1 alimpa juve apate laki nneHzo ndo bahati kk ila mwenye ela nying yy ni timu moja moja tu maana hata odds ya 1.30 ni kubwa kwenye milion una lak3 faida
chagua game tano unazodhania zitatoa first half 1+ weka stake <5000
chagua game tano unazodhania zitatoa first half 1+ weka stake <5000
wacha kaka, juzi mtu kaliwa m1 alimpa juve apate laki nne