Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Yaani wakuu kiukweli leo man u kaniudhi sana japo huwa simpendi leo nilimpa win baada ya yeye kufungwa ila ndo hvyo tena.
Kesho nayo siku leo nimekosa dollar 104 kiuzembe sana

pole sana, ulipoweka mzigo alikua kapewa odds ngapi?
 
You're not fair!ath bilbao,b leverkusen,b dortmund,psg,monaco,liverpool,tottenham,ac milan,r sociedad WAKO WAPI???
 
duh kwahiyo kupiga pesa mingi, sio kuweka mzigo mkubwa ati? ni kuwa na bahati au kuziotea tu??

Hzo ndo bahati kk ila mwenye ela nying yy ni timu moja moja tu maana hata odds ya 1.30 ni kubwa kwenye milion una lak3 faida
 
Jamani mie leo mkeka wangu nitaubandika hapa kabla ya mechi
 
wacha kaka, juzi mtu kaliwa m1 alimpa juve apate laki nne

Unahitaji kuwa na milioni kama 4 au 5 za kutumia kwenye huu mchezo, mind you, huyu akiwa anacheza namna hii ni rahisi kuvuna kuliko sisi wa buku buku.

Biashara ni mtaji, akili na bahati; kila siku watu wanafanya business zinabuma, wengine wanatoka. Sasa sisi tumelimbikiza kwenye bahati, mitaji hatuna kabisa, tunategemea buku 10 itutoe utadhani jamaa walioko machimboni kusubiri mgodi uteme.

Tutasubiri sana na hawa jamaa wataendelea kutula hizi buku 10 10, na sisi tunajifariji eti haziumi; yaani dah.
 
Back
Top Bottom