Nimeongea nao wamesema kuwa leo ndo inafikisha siku tatu. Pia wanasema kuwa kwao ilitoka toka jumatatu bank ndo wamebakia kuituma kwenye account yangu
Leo
Feyenoord
Napoli
Fiorentina
Weka 50£ unapata 787£
Duh, hapa umejilipua kwa grenade mkuu.
Everton this season dah
wadau mie ngoja niwajaribu steau bucharest na trazbonspor kuwapa win.
Napoli kashindwa kupata draw kwa young boys.
asante sana steau bucharest na trazbonspor kwa kufanya kweli.
Daaaah kuna timu zingine sio za kuwaamini
vipi tena mzee mwenzangu ulimpa dhamana?
Kiongozi naomba msaada wako hapa. Nilikua najaribu kufungua accout ya meridian ili niwe nacheza online. Nimejaza sehemu zote ila kuna sehumu moja nahizi nimekwama na sijajua najaza nini kwenye jedwali lake.
Pameandikwa hivi: PREASE INTER CORRECT TEXT FROM THE IMAGE BELLOW.
Kama una unafahamu cha kujaza nisaidie mkuu. PROMO CODE nimeshapewa.
andika hayo maneno yaliyopo hapo sasa
Maneno gani mkuu mbona sijakuelewa?
hapo kwenye kama picha si kuna muunganiko wa herufi kubwa na ndogo?
Mkuu nakushukuru sana kwa msaada wako nimefanikiwa kufungua akaunti.
Vipi kwenye utaratibu wa kuweka pesa kwenye akaunti ni mpaka kwenda kwenye mawakala wao? Na je ukiwa na hela m-pesa hakuna namna yoyote ya kuhamisha salio kwenda meridian bet account?
Asante sana.