Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nimeongea nao wamesema kuwa leo ndo inafikisha siku tatu. Pia wanasema kuwa kwao ilitoka toka jumatatu bank ndo wamebakia kuituma kwenye account yangu

Hapa inabidi uwe na mtaji wa backup, make unaweza kuona game ukataka kutupia mzigo hafu ndo hela haijafika, ni noma.

Maana hii biashara yetu ni kucheza na opportunities za haraka haraka.
 
Leo
Feyenoord
Napoli
Fiorentina
Weka 50£ unapata 787£
 
Daaaah kuna timu zingine sio za kuwaamini

Kiongozi naomba msaada wako hapa. Nilikua najaribu kufungua accout ya meridian ili niwe nacheza online. Nimejaza sehemu zote ila kuna sehumu moja nahizi nimekwama na sijajua najaza nini kwenye jedwali lake.

Pameandikwa hivi: PREASE INTER CORRECT TEXT FROM THE IMAGE BELLOW.

Kama una unafahamu cha kujaza nisaidie mkuu. PROMO CODE nimeshapewa.
 
andika hayo maneno yaliyopo hapo sasa
 
Waliochek game ya totenham mmeona goli la lamela? Bonge la bao ktk style ya RABONA
 
hapo kwenye kama picha si kuna muunganiko wa herufi kubwa na ndogo?

Mkuu nakushukuru sana kwa msaada wako nimefanikiwa kufungua akaunti.

Vipi kwenye utaratibu wa kuweka pesa kwenye akaunti ni mpaka kwenda kwenye mawakala wao? Na je ukiwa na hela m-pesa hakuna namna yoyote ya kuhamisha salio kwenda meridian bet account?

Asante sana.
 
nenda ofisini kwao au wakala wao. Kwa njia ya m-pesa chek ukurasa wa 205 ktk thread hii utaona namna ya kudeposit na kuwithdraw
 
Back
Top Bottom