Kwa hyo hapo kwa m pesa hela inahama.. Au??
Thanks Man City vs Westham
Mmenipa dollar 178 ambae hali leo baasi aache begting
hv mkuu andybird314 ww kila siku unakula cc kwetu vilio dooh au ndo unacheza na akina pweza watabir
Jamani mie najitoa uelewa, nampa Real Win
Jamani mie najitoa uelewa, nampa Real Win
Jamani mie najitoa uelewa, nampa Real Win
Mdosi amenifilisi jamani,
Ndugu uliweka dau sh. Ngapi
Andybird314 naona uko on fire
85$
Baada ya kufungwa nikapata 416$ aliposhinda
Ndo naona bahati hapa
Leo 416$ si mbaya sana bado kuna mmoja wa 410 kwa 30$ Monaco ndo anazingua hapa
85$
Baada ya kufungwa nikapata 416$ aliposhinda
Ndo naona bahati hapa
Leo 416$ si mbaya sana bado kuna mmoja wa 410 kwa 30$ Monaco ndo anazingua hapa
Dahhh kijana kweli umedhamiria ukaingia mzima mzima safi sana
tueleweshane kdg mkuu