Leo natembea hiviView attachment 197269View attachment 197270
Ndio kitu nataka kuwafanyia pia, ndio nataka kujua limit maana nina plan ya kuwaharibia jamaa.
Mikeka yangu bado inapumua na cash out ya 18$ hadi sasa, toternham, juve,inter,roma,milan malizeni kazi usiju huu niingize dollar 380
Hahahaaaa...! Mkuu leo nimeota nimepiga pesa bet365, ilhali bado nasita kuwekamo pesa humo bet 365 kutokana na kesi yako.
Sasa hapa nimeamua liwalo na liwe, now naelekea NBC kuwekamo dola kadhaa niaze kazi maana naona najichelewesha pasipo sababu. Hahaaahah.
Hebu niambie ujanja wako, nipitie mitaa ganj ili kutumbua na kutusua pesa.?
Hahahaaaa...! Mkuu leo nimeota nimepiga pesa bet365, ilhali bado nasita kuwekamo pesa humo bet 365 kutokana na kesi yako.
Sasa hapa nimeamua liwalo na liwe, now naelekea NBC kuwekamo dola kadhaa niaze kazi maana naona najichelewesha pasipo sababu. Hahaaahah.
Hebu niambie ujanja wako, nipitie mitaa ganj ili kutumbua na kutusua pesa.?
Nadhani NBC wako poa. Hawa wakenya wanazibania hela zangu. Ila next time nikitaka draw nitatumia acxount nyingine.
Bet365 iko fast online, mimi huwa natumia sana online, pia nimependa cashout yao ukiona hatari unatoa hela mapema.
Tumia hii kickoff.co.uk iko poa kujua winner wa match
In case kwa mfano umeweka $70 dk ya 3 matokeo yakiwa droo na kusema mechi itaisha kwa timu A kushinda. Mpaka dk ya 80 timu A imefungawa 2-0, je uki-cash out hiyo dk ya 80, zinarudi $70 zako zote.
Hapana mkuu
Ni hivi mfano umeweka mkeka timu kumi, timu saba zinacheza jumamosi, zile za jumamosi zote zikashinda na wewe ukahisi timu za jumapili zitaharibu mambo hivyo unaweza cash out zaidi ya ile hela uliyoweka ila ni pungufu ya hela uliyotakiwa pata kwani timu zote hazijacheza.
Mfano mwingine ni huu.
Kwa hiyo timu yako ikifungwa hela inapungua kwa kasi sana ikifunga la pili hela inapotea kabisa.
Hapo unatakiwa uwe waangalia wapi timu inaelekea
Tottenham vs Brighton 3+
Monchengladbach win
Stoke win
Genoa vs Juventus 3+
Hamburger vs Bayern Munich 3+
Roma win
Sevilla win
aiseee mkuu hapo kwa stoke utaaribuuuuuu..southampton hawashikiki na hawafungiki kirahisi...bora utafute game ingine hiyo toa kabisa...kuna partizan,asteras tripolis etc
Dini yetu hairuhusu kulamba riba
loh ni shedaaaaaaaaaaaaa