chicago wapo fit sahivi. Labda jaribu under/over ila sijajua odds za over
So tatizo kiujumla lipo wapi. Bank ama Bet365
Game imedraw, asante kwa kunipa tahadhari.
Cleveland ameshinda baada ya overtime ambapo haiwi considered for Bet purposes, labda uchague kipengele hiko cha win ot included.
Thanks man.
Ambae jana hajala toka kwa ligue 2 ya france nampa pole aisee jana ilikuwa siku nzuri ingawa Monaco kahari mambo mengi sana jana leo ningeamka mtu mwingine kabisa ai yule wa siku zote
kweli kabisa jana france league 2 ilikua wazi sana
aisee basket kutoa draw ni ngumu nadhani hapo makampuni ya beting yamefurahi sana
Mkuu leta upepo wa leo
Sana, ila Chicago wako vizuri.
Q4 naona jana haikutoa over
leo game za GG : everton v swansea,stoke city v westham, newcastle v liverpool... Game za ushindi mpe everton, mainz,bristol,watfod,wolves... Halafu game ya psv,arsenal,chelsea,madrid,ajax weka option ya 1st half 2+
Huu wako uko poa naukop
haya niskie tena kunamtu maskini humu ndani ! hela hiyo:banghead:😀
Meridian ni wezi.. Jamani kama unacheza mikeka ya pesa nyingi achaneni na meridian.. Nimewithdraw pesa kwenye account yao tangia alhamisi mpaka leo sijaiona. Nawapigia simu Mpesa na Meridian wananipiga danadana tu