Raimundo
JF-Expert Member
- May 23, 2009
- 13,416
- 12,618
asante mkuu, wamesema wanaishughulikia. Vipi pambano lako na muhindi hadi sasa nani ana ahueni??
Ha ha ha! Bado ndo kwanza najipanga nizisome game za NBA vizuri, niko determined kishinda. Zile alizokula ni tuition fee, nikishaelewa atanijua tu.
Ila kamali ni mbaya jamani duh! Ukila huridhiki, unazidi kuona kwamba unaweza kula zaidi kumbe ndo zinaondoka ulizokula.

