asante mkuu, wamesema wanaishughulikia. Vipi pambano lako na muhindi hadi sasa nani ana ahueni??
Mimi leo wafe wao au mimi. Leo ni leo asemae kesho mwongo
West Brom,Southamton,Arse,Newcastle,Stoke city,arsenal, chelsea, real,atlet,bayern,anderlech
Mdosi anakuchora tu unavyojigamba!
hahahaha unakula laki leo, unaongeza dau kesho unapigwa laki na 20, unaanza upya tena.. Kamari haifai, ni ubishi tuHa ha ha! Bado ndo kwanza najipanga nizisome game za NBA vizuri, niko determined kishinda. Zile alizokula ni tuition fee, nikishaelewa atanijua tu.
Ila kamali ni mbaya jamani duh! Ukila huridhiki, unazidi kuona kwamba unaweza kula zaidi kumbe ndo zinaondoka ulizokula.
mkuu nakutakia mafanikioLeo nafunga macho natupa laki kwa Liverpool, biashara ikiwa nzuri nadouble mzigo
ila wapo ugenini hapo pagumu chochote chaweza tokeaLeo nafunga macho natupa laki kwa Liverpool, biashara ikiwa nzuri nadouble mzigo
Leo nafunga macho natupa laki kwa Liverpool, biashara ikiwa nzuri nadouble mzigo
ila wapo ugenini hapo pagumu chochote chaweza tokea
Mkuu nimeamua kujilipua tu, akichukua hiyo pesa mwezi mzima hatanisikia mpaka December Xmas season..
Mkuu Newcastle anataka kuharibu sherehe!
Mkuu Newcastle anataka kuharibu sherehe!
pole mkuuMkuu nimeamua kujilipua tu, akichukua hiyo pesa mwezi mzima hatanisikia mpaka December Xmas season..
Hapa ndio napomkumbuka mwalimu wangu wa Physics form two.. Word done=0, yani nilianza na mtaji wa 15 jumatatu mpaka jana ulizaa laki na 13.. Leo kachukua laki yake yote..
Usipokuwa na tamaa yani unaweza faidika sasa unakuta mtu anatoka kuweka mkeka wa 1000 hadi 10000 kisa tu alipiga pesa ndefu siwezi aisee hata pesa iwe tamu vipiHawa jamaa wanatushinda kwa sababu ya uroho, tukila kiasi tunawaza kupata nyingi zaidi kwa kuweka zote.
Inabidi kuww na mtaji maalum ambao unakuwa unaumantain, ambao hutakiwi kuuongeza ovyo ovyo, tena kuuongeza inabidi hela itoke kwenye faida sio mfukoni.