Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Yaani ni msiba huo mainz kaniharibia yaani
 
Pale ambapo underdog anageuka favorite on the pitch……..dah mpira raha sana aiseee
 
Huu mchezo mi nishaugeuza wa kujifurahisha sio kutafuta pesa.. Ukiuchukulia serious utajipa presha tu

Well said mkuu. Bora ukaucheza kama karata au draft utauweza kuliko kuufanya kama ofisi yako. Me nimeamua kuwa najikita hata kwenye option za kadi mfano kadi za njano au nyekundu, kona, penalti n.k kuna mambo mengi ya kuangalia sema sisi kama tunaangalia kwenye idadi ya magoli tu na ushindi.
 
Tutafute milion sasa kama Hadi barca kawa kiaz wakuu hapo vip
 

Attachments

  • 1414905773797.jpg
    39.7 KB · Views: 157
Daah mechiii Hz zako waz kabsa kama Una mtaji waweza kuna nao au ndo kama suarez mess neymar wameufilis pole next time
 

Attachments

  • 1414906512488.jpg
    40.8 KB · Views: 121
Nantes,marseile,freamunde,mancity (GG), vilareal (GG), moncheglabach (GG), cologne,torino.
 
Jana soka maumivu.
Thanks to basketball kwa kwa kunilindia mtaji na kuendelea kuniweka mjini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…