Mbrazili
nadahani hauko makini au hujaangalia vizuri,
ile ilikuwa ni mechi ya mtoano, na dakika ziliongezwa mapaka 120, braga akapiga 3. mbona mbishi hivi?
Subiri jioni nikilipwa nitakuwekea msg hapa.
By the way kama kusoma hujuhi AGALIA PICHA BASI.
View attachment 137725
Sijui umebet kampuni gani....ila kama ni muhindi premier betting sheria zake ziko wazi kabisa..hata kwenye karatasi wamekuandikia ubashiri wowote utaishia dakika ya 90 tu....mara nyingi tu nshakosa pesa kwa dizaini iyo so hapo ni kama unasubiri boti stendi ya ubungo
Sijui umebet kampuni gani....ila kama ni muhindi premier betting sheria zake ziko wazi kabisa..hata kwenye karatasi wamekuandikia ubashiri wowote utaishia dakika ya 90 tu....mara nyingi tu nshakosa pesa kwa dizaini iyo so hapo ni kama unasubiri boti stendi ya ubungo
Mambo ya kukimbizana vibandani ya nini? Mimi napiga M-Bet. Kitu kwenye simu online.
M bet na premier bet sio kitu kimoja???...nadhani ndo hao hao angalia sheria kwenye menu yako
CONFIRMED NIMEPOTEZA.
Nimewapigia simu na wamenieleza kuwa wanatumia dakika 90 tu, nasio muda wanyongeza, sikulijua hili.
wamenipiga 20, hope leo nitalipiza.
Vipi leo hamna mikeka mbona kimya
Wadau leo nime nimempa espanyol,vittesse,rangers na kasimpasa kwa buku 10 nakula buku 36
Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
Metz vp
itakua ulikosea namba ya risiti. Mbona kawaida tu inatokea mtu kukosea na kesho yake wanakurudishia hela yako
Kasmpasa,vitese, espanyol. Tupate mpunga wa galatasaray,madrid,leicester city, barca na man city kesho
walinirudishia kweli mkuu,hivi namba yao ya huduma ni ngapi nilitumia 300300 ikagoma.msg yao wanaandika namba ya
huduma 30 inagoma wanasema inabidi ziwe 4 kundelea nadhani hapo ndy nilikosea!..
Narudia tena hakikisha nyumbani umeacha hela ya chakula na usile mtaji he he he