Mbrazili
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 649
- 90
Mbrazili
nadahani hauko makini au hujaangalia vizuri,
ile ilikuwa ni mechi ya mtoano, na dakika ziliongezwa mapaka 120, braga akapiga 3. mbona mbishi hivi?
Subiri jioni nikilipwa nitakuwekea msg hapa.
By the way kama kusoma hujuhi AGALIA PICHA BASI.
![]()
View attachment 137725
Sijui umebet kampuni gani....ila kama ni muhindi premier betting sheria zake ziko wazi kabisa..hata kwenye karatasi wamekuandikia ubashiri wowote utaishia dakika ya 90 tu....mara nyingi tu nshakosa pesa kwa dizaini iyo so hapo ni kama unasubiri boti stendi ya ubungo