Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

wazee wenzangu naomba msaada wenu kujua hii kitu sijui inaitwa FOURTH FOLD jana kuna mtu alinigusia japo sina uhakika wa jina lenyewe la mchezo. Alinambia kuna option ya kuweka timu 10 afu unasema timu 5 zitashinda then ikiwa hivyo hata kama zingine zimekwenda mrama unakuwa umeshinda na vice versa is true. Kwa anayejua wakuu anambie hii kitu inapatikana ktk kampuni ipi?
 
Rio Ave. Nancy kula leo lazima tushindwd sisi tu
 
Kuna jamaa amekula Pounds 63257 (171,000,000/= tsh) kwa kuweka Pound 5 tu. Afu jamaa kaacha betting hapo hapo hadi mwakani ndo anarudi tena
Na mimi nae nasubiria nikifikisha hizo ndo nitastaafu kwa muda vinginevyo kila siku nitakuwa najaribu
 
Kuna jamaa amekula Pounds 63257 (171,000,000/= tsh) kwa kuweka Pound 5 tu. Afu jamaa kaacha betting hapo hapo hadi mwakani ndo anarudi tena
Na mimi nae nasubiria nikifikisha hizo ndo nitastaafu kwa muda vinginevyo kila siku nitakuwa najaribu

huyo jamaa ni mbongo?
 
Haya wale wa Rio Ave, Nancy, Preston kesho kachukueni hela zenu, sisi tusha cash out zetu mapema
 
dah, mpunga umeniponyoka!
mtoto wa nzi kama kawaida timu yako moja imeharibu.

nikiweka timu fikiria moja ya kuitoa..most of the time nacheza timu 4-6.... Still nauliwa na moja ...... Afu hichi kimkosi kimeanza huu msimu.....
 
Last edited by a moderator:
Mimi huwa natumia footballacca.co.uk huwa most times wanapatia kuanzia exact goals hadi winner

Nimejaribu kuregister imeshindikana kwa sababu kuna charge, vipi unaweza kuona tips bila malipo kweli? Na kuhusu kulipa ni ipi njia rahisi ya kulipa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…