Raimundo
JF-Expert Member
- May 23, 2009
- 13,416
- 12,618
Nancy,rio ave
na bari na fortuna duessdolf
Jamani hebu nihakikishieni, maana nataka kuingiza kichwa. Choice zangu zinabuma kinyama.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nancy,rio ave
na bari na fortuna duessdolf
Jamani hebu nihakikishieni, maana nataka kuingiza kichwa. Choice zangu zinabuma kinyama.
Mkuu hzo ni suggestion tu. We are not 100% sure
Ha ha ha! Unavua lawama.
Kuna jamaa amekula Pounds 63257 (171,000,000/= tsh) kwa kuweka Pound 5 tu. Afu jamaa kaacha betting hapo hapo hadi mwakani ndo anarudi tena
Na mimi nae nasubiria nikifikisha hizo ndo nitastaafu kwa muda vinginevyo kila siku nitakuwa najaribu
huyo jamaa ni mbongo?
Haya wale wa Rio Ave, Nancy, Preston kesho kachukueni hela zenu, sisi tusha cash out zetu mapema
Haya wale wa Rio Ave, Nancy, Preston kesho kachukueni hela zenu, sisi tusha cash out zetu mapema
Dah, mpunga umeniponyoka!
Mtoto wa nzi kama kawaida timu yako moja imeharibu.
dah, mpunga umeniponyoka!
mtoto wa nzi kama kawaida timu yako moja imeharibu.
Rio ave, nancy oyeeee
Mimi huwa natumia footballacca.co.uk huwa most times wanapatia kuanzia exact goals hadi winner