Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nimejaribu kuregister imeshindikana kwa sababu kuna charge, vipi unaweza kuona tips bila malipo kweli? Na kuhusu kulipa ni ipi njia rahisi ya kulipa.

Mimi natumia account ya rafiki yangu fulani. Nitakuwa naweka mikeka kama ilivyo kutoka huko footballacca.
Kujiunga jamaa alitumia paypal kuweka hiyo annual fee ya 9.9 pounds
 
Nimejaribu kuregister imeshindikana kwa sababu kuna charge, vipi unaweza kuona tips bila malipo kweli? Na kuhusu kulipa ni ipi njia rahisi ya kulipa.

yan kuangalia tips tu unalipia?! duh! ni sh ngap mana unaeza ukalipia af ukabet ukapgwa za uso
 
Mimi natumia account ya rafiki yangu fulani. Nitakuwa naweka mikeka kama ilivyo kutoka huko footballacca.
Kujiunga jamaa alitumia paypal kuweka hiyo annual fee ya 9.9 pounds

Fanya hivyo mwana, maana nimeona twitter watu kibao wanashuhudia positively!
 
yan kuangalia tips tu unalipia?! duh! ni sh ngap mana unaeza ukalipia af ukabet ukapgwa za uso

Hao watu ni experts, wanatumia muda wao kuzisoma hizo timu. By the way, sio guarantee, ni at your own risk.

Ni experts kabisa ndio maana unalipia na ukishindwa shinda the first time you bet wanarudisha hela yako via paypal

Fanya hivyo mwana, maana nimeona twitter watu kibao wanashuhudia positively!

Twitter unakuta ni screenshots za walioshinda na unakuta wengi wametumia hao accas

sometyme hao jamaa wanakua wanajua michongo ya game ambazo zimeuzwa kwahyo ni bora kuwafatilia.

Yeah sometimes huwa nashangaa mtu anakuwekea mkeka wa points 45 wewr tu kuweka hela zako

Uzuri wa hawa wao hawatumii computer generated tips kama accas wengine. Hawa wao wanatumia experts wao.

Leo nitaweka mikeka ya hawa watu.
Ningekuwa na moyo ningetoa username na password yakutumia huko footballacca ila..........
 
fanya hivyo chif ili tuone feedback yao ikoje may b wanaeza kuniconvice kuahirisha likizo yangu ndef kwenye kubet 😎
 
andybird314 fanya hivyo ndugu weka mikeka humu,,.. si unajua tunapigana against adui mmoja..,,
 
Last edited by a moderator:

Fanya kupaste tips
daily!!

nataka kurudi mzigoni
 
andybird314 fanya hivyo ndugu weka mikeka humu,,.. si unajua tunapigana against adui mmoja..,,

CEO nimechek hiyo web,jamaa walitabiri fresh game ya arsenal vs Swansea na stoke vs tothm

adui yetu ni mmoja

nimeshajiweka pale meridian
 
Last edited by a moderator:
CEO nimechek hiyo web,jamaa walitabiri fresh game ya arsenal vs Swansea na stoke vs tothm

adui yetu ni mmoja

nimeshajiweka pale meridian

Duuuh!! bas ni nomaa hawa jamaa..,,
lakini Safar hii umerud mazima Deo Corleone ?
 
Last edited by a moderator:
  • 45pts @ 2.29/1 on Barnet v Torquay (OVER 2.5 GOALS) [COLOR=#009900 !important]England Conference[/COLOR] Premier 8.00 PM, Bury (TO WIN EITHER HALF) Johnstone's Paint Trophy 7.45 PM & Dundee Utd U20 v Motherwell U20 (OVER 2.5 GOALS) Scotland Premier U20 League 6.00 PM
  • 45pts @ 2.86/1 on Al Salt v Sama Al Sarhan (UNDER 2.5 GOALS) Jordan Division One 12.30 PM, Aleshkert II (WIN) Armenia First League11.00 AM & Al Shabab Al Arabi v Al Jazira SC (OVER 2.5 GOALS) UAE Cup 3.30 PM
 
  • 10pts @ 11.75/1 on Barnet v Torquay (OVER 2.5 GOALS) England Conference Premier 8.00 PM, Bury (TO WIN EITHER HALF) Johnstone's Paint Trophy 7.45 PM, Dundee Utd U20 v Motherwell U20 (OVER 2.5 GOALS) Scotland Premier U20 League 6.00 PM, Al Salt v Sama Al Sarhan (UNDER 2.5 GOALS) Jordan Division One 12.30 PM, Aleshkert II (WIN) Armenia First League11.00 AM & Al Shabab Al Arabi v Al Jazira SC (OVER 2.5 GOALS) UAE Cup 3.30 PM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…