Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

raimundo hivi handcap ya basket inakuaje

Ni kama ya mpira tu,

Mfano leo game ya Houston na Philadelphia, Houston win ina odd ya 1.03, so ukienda kwenye handcap utakuta kuna -18.5, ina maana ukimpa Houston win with handicap ni lazima amzidi Phil pint 19 na kuendelea.

Kama point difference ikiwa 18 and below basi Phil anakuwa ameshinda.
 

du! Kwa mziki wa NBA navoujua handcap ni ngum sana
 
du! Kwa mziki wa NBA navoujua handcap ni ngum sana

Kuna timu ziko weak, hazina wafungaji. Mfano hiyo Philadelphia kila mtu anaifunga kwa difference ya points nyingi, unaweza kucheki statistics espn.com.

Na pia OKC kipindi wako na KD na Westbrook walikuwa wanazifunga timu kibao kwa difference kubwa.

NB: Kamali ni kamali, chochote kinaweza kutokea.
 

hahahah siku hasheem akianza naweka handcap
 
Mechi ya saa tano itakuwa ishaisha mkuu,
Naona team ya kwanza tu ishararua mkeka wako,. Pole sana

Hii ndo betting bhana timu unaipa cap yenyewe ndo inapigwa cap, unaweza ukajinyonga yani.

Hahaha kaka acha kabisa .. yaani nimekaribishwa kisawa sawa , Voda waliniwekea pessa Vizuri ,nikajidunga Mikeka yangu .Mmmh yote imechanika ..

ila kuteleza si kuanguka . Will move on.
 
Poa elewa timu za Japan div 2
Huwa zinafunganaga kipindi cha pili
So we bet 28+
 
Wadau mi kuna hii ishu ya fixed matches. Kuna mzungu wa albania alinirushia tip ila skutia maanan nkaweka 1000. Sasa kanipromise kunrushia nyingine alafu paymet after. Ikitick ntarejea na feedback
 
Unakuta tip ni 2/1 au somthing similar. Odd unakuta 30 akinipa hyo natupia hata 50.ikitick aseee watatutambua maana ntakuwa natupia humu
 
SHIRIKISHA AKILI YAKO KATIKA KUHITAJI MAFANIKIO
usiwe kama nyumbu kukimbilia wenzio wanako kimbilia.....?
TUMIA AKILI KUPATA UTAKACHO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…