Jamani tuacheni hii tabia ya kubishana na kutukanana huku ,hakuna aliyebora ,wote ni watazamaji wa mpira hakuna hata mmoja wote anayepewa nafasi ya kucheza hizi mechi ,matokeo ni dakika 90' na ndiyo maana ikaitwa ubashiri.
This is Funny but its b'ness also...hakuna haja ya kutafuta nani mchawi.
Tunagombaniaje fito wakati tunajenga nyumba moja? .
Anayeweka Tip hapa ili kutupoteza akidhani yeye binafsi anaweza kimfilisi mzungu basi ajue anakosea .
Mzungu anaingiza mabillion kwa mwezi .
Tushirikiane tu kiroho safi kufanikisha michezo yetu .
Anyesema hafaidiki na hii thread basi akae pembeni na si kuponda . Watu tulianza hatuhui hata betting ,nomeingia juzi kwnye uwanja huu na hii ni siku ya tatu sasa nimeshajua kubet kwnye simu na mambo mengi ,jana nimekula pesa.
Mm binafsi nichangie hili kwa leo Nimekutana na App "playstore " inaitwa OLBG SPORTS BETTING" Wadau mbalimbali wanashare tips humo .
Ahsanteni