Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Jamani hebu tazameni hapo maana hawa wazungu sijui wanatuchukuliaje toeni mawazo yenu
 

Attachments

  • 1416134307721.jpg
    1416134307721.jpg
    53 KB · Views: 102
  • 1416134321092.jpg
    1416134321092.jpg
    60.8 KB · Views: 90
  • 1416134336472.jpg
    1416134336472.jpg
    57.3 KB · Views: 79
  • 1416134351292.jpg
    1416134351292.jpg
    55.1 KB · Views: 89
  • 1416134366307.jpg
    1416134366307.jpg
    58.4 KB · Views: 83
Jamani tuacheni hii tabia ya kubishana na kutukanana huku ,hakuna aliyebora ,wote ni watazamaji wa mpira hakuna hata mmoja wote anayepewa nafasi ya kucheza hizi mechi ,matokeo ni dakika 90' na ndiyo maana ikaitwa ubashiri.
This is Funny but its b'ness also...hakuna haja ya kutafuta nani mchawi.

Tunagombaniaje fito wakati tunajenga nyumba moja? .

Anayeweka Tip hapa ili kutupoteza akidhani yeye binafsi anaweza kimfilisi mzungu basi ajue anakosea .

Mzungu anaingiza mabillion kwa mwezi .

Tushirikiane tu kiroho safi kufanikisha michezo yetu .

Anyesema hafaidiki na hii thread basi akae pembeni na si kuponda . Watu tulianza hatuhui hata betting ,nomeingia juzi kwnye uwanja huu na hii ni siku ya tatu sasa nimeshajua kubet kwnye simu na mambo mengi ,jana nimekula pesa.

Mm binafsi nichangie hili kwa leo Nimekutana na App "playstore " inaitwa OLBG SPORTS BETTING" Wadau mbalimbali wanashare tips humo .

Ahsanteni
 
Leo mpe uholanzi ,belgium,norway,avellino,czech,cyprus....italy hana dhamana na mechi tano za mwisho dhidi ya croatia kapigwaaa
 
International
Belgium
Cyprus
Bulgaria
Turkey
National de Football
River Plate
Flamengo
Rio Ave
Atletico Mineiro
Lorenskog(Ice Hockey).....norway
Lillehammer(Ice Hockey)norway

Weka hata buku tano!!
 
International
Belgium
Cyprus
Bulgaria
Turkey
National de Football
River Plate
Flamengo
Rio Ave
Atletico Mineiro
Kongisvinger(Ice Hockey)
Lillehammer(Ice Hockey)

Weka hata buku tano!!

Hizi mechi bado .. na je hiyo normal win
 
Back
Top Bottom