Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 18,772
- 8,939
Mimi nilimpa fiorentina,swansea,nacional,napoli,real&atletco. Mzee wa mikeka mirefu
hahaha, mpira unadunda shkhe. We si umeona kilichomtokea sundland a.k.a kiboko ya vigogo leo?
Acm milan timu imeona ile napoli anshind akiulaini , na hizo nyingine kasha shind atayari.
Napoli anataka watu walale njaa leo.
dah! Washachafua gazet
Karudisha leo hataki utani!
dah afadhali maana 2lishaanza kukufuru.
Ndio mpira ulivyo kaka, usikate tamaa hasira zako zote utamaliza kesho.
Tupoze machungu na hiyo hapo.
ila tatizo watu wanweka Mikeka mikubwa sana, ni muhimu kuweka mikeka midogo at most timu 3.
kanikosesha 1.5
Thanx higuain kwa kunipa kifuta machozi hali ilikua mbaya.
Ayaaah!
Atktiko wameharibu siku.