Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hockey Ni dakika 60 mkuu na iko vizuri sana usipokuwa na tamaa

Unaamanisha kufuata Odds ndogo...nadhani huko ndiko kutokua na tamaa unapokuzungumzia .

Kwa sababu si rahisi kuzijua hiz timu kiundani zaidi ya kufuata odds . !
 
Unaamanisha kufuata Odds ndogo...nadhani huko ndiko kutokua na tamaa unapokuzungumzia .

Kwa sababu si rahisi kuzijua hiz timu kiundani zaidi ya kufuata odds . !

Yaah ni kweli mkuu mi nimeanza kucheza online ambapo nasubiri ifike hadi dakika ya 40 hivi kwa mechi ambayo imefungana magoli chini ya 3 (hapa nina uhakika kuwa timu hizo haziko vizuri kwenye kufunga) halafu ndo naweka mkeka wa under 6.5 au 7.5 natupia kama laki inaleta elfu 10 (hii trick nimeipenda sana mana kuliwa ni nadra sana)
 
Belgium 0-0 Wales X2 imetoka
Mlionidharau na mapicha yangu (screen shots ) mkakimbilia avelino
3.45 × 40000 = 138000
Mpaka natamani niwaonyeshe huu mkeka
 
Ila uoga ni upumbavu
Nimeenda na laki na ishiri
Hw2 Netherlands
Hw2 Cyprus niweke 40000

Alaf X2 bel v wales 80000

Nikageuza mawazo baada ya kuzifikiria ni timu za taifa
Nikaweka nusu nusu kila mahali nikabaki na 60000 mfukoni kube saiz ningekuwa nawaza note kesho asubuhi
 

Hahah pole sana mkuu ni kawaida mi mwenyewe huwa nabadilisha sana mawazo nifikapo kwenye kuweka mkeka.
 
Dah, leo nimekula za uso mpaka naona nyota. 160K imekatika kwa leo pekee. Hasara roho, pesa makaratasi.

Acha nimalizie grants yangu nipige usingizi.
 
Jana watu wengi mme liwa,Je ni kwanini?
(1) kukariri na kuogopa kufanya usaliti kwa timu
mf. BELGIUM v WALES
point 1.27 kwa 9.70 sasa wengi wetu tunakimbilia points ndogo badala tufanye usa liti wa points ndogo....
(2) tunakuwa wajinga kama nyumbu (samahani) mtu akitoa tip ya timu 5 anasema hii weka pesa hata laki tuna copy na ku paste bila ya kuishirikisha akili yako iwaze zile timu zote.....upunguze ipi au uongeze ipi
(3) Hatuendi na msimu//hatusomi alama za nyakati,kivipi? Saiv ni msimu wa mechi za U17 U19 U21 na za wakubwa za kimataifa
Hatukumbuki ya kuwa wachezaji wengibwa timu za taifa za U17 U19 U21 hutoka kwa timu hizi za championship(ligi daraja la pili) huwa hatuangalii kama timu inawachezaji Muhimu au lah
Tunabet kimazoea
(5)tamaa ni kitu kingine kinacho tuponza..tunataka faida kubwa...kwa kutumia hela kidogo
Mf. 1000 itoe 150000 kuendelea
(6)uoga ni kitu kingine...watu ni waoga wa kutumia pesa upate pesa
 
Namwendea Muhindi chimbo! Nitarudi weekend na possibles za kufa mtu, atakayenifata ajue amefata asali.

Asante sana Mtoto wa nzi, napita site moja moja na naziona na zingine zenye matokeo atleast 80-90% correct kwa miezi 6 nyuma.

Mfano jana kulikuwa na Israel win, Czec win na zilikuwa na total odd 4, nikasikilizia sikuzicheza ila zilijibu fresh.

Sasa hapa ntakuwa kila siku nachagua timu mbili mbili na kuangalia accuracy ya hizo site, nikijiridhisha kwa siku kama 4 au 5 ndo natupia mzigo wa ukweli.

Hii mbinu ikishindwa naacha hii business.

Muhindi ajipange!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…