Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hizi fixing nadhani imetokea hata kwenye game ya Iran na Korea leo.
 
wale wazee wenzangu wa 0-2 ligi ya India na leo imetoa tena..
Jaribun kupita na uko pia msio pita ligi ya india.
 
slovakia wananichania mkeka aiseeh, nimeweka total goals 2-3, wenyewe wanatia kambani tu, wanaongoza 2-0 sasa
 
Wakuu hebu chekini mkeka huu. Nani atoke hapo
 
Attachments

  • 1416329223965.jpg
    28.6 KB · Views: 97
  • 1416329249864.jpg
    26.1 KB · Views: 93
wale tulio mcheza mexico tuanze kufunga swala..... hernandez nje...carlos vela nje...herrera wote wawili nje....yaani walioanza mkongwe fundi ni dos santos ....aseeeee hivi vikosi vingekua vinafahamika mapema watu wasingekuwa wanabet......
 
Sikuhizi wining naiogopa nacheza 2+. Mchana nimekula 5000 wameirudisha ilikuwa live in play
 
slovakia wananichania mkeka aiseeh, nimeweka total goals 2-3, wenyewe wanatia kambani tu, wanaongoza 2-0 sasa

dkk ya 90 2-1.... funga swalaaa...... mexico sare half tym.....duh..... sparta praha kawashwa..... manina..... kocha wa mexico ni maku......kikosi alichoeka ni kama kanunuliwa alishe watu maandazi....
 
tunapoelekea betting inaharibu itasababisha kupoteza mvuto wa mpira wa miguu,

huwenda hata timu kubwa zinafungwaga kwa ajili ya fixing.
 
dah afadhali dakika ya 53 mexico anaongoza 2-1 hapa 2+ imetoka na ULE MKEKA NILIWAAMBIA MUWEKE WENYE PESA MEXICO 2&3+ ...MUMUOMBE ASIRUDISHWE ABAKI BRAZIL 2&3+ ...... UMASKINI SHIDA SANA..... HAPA HALFTIME WIN WAMELIWA ...HALF TIME GOAL WAMELIWA...HALF TIME CAP WAMELIWA....YAANI BET ZA HALF TIME ZOOOOTE KADORO NG HALF TIME NA HALF TIME SARE TU NDIO WAMEPATA ILA KWA GAME ILIVOKUWA NYEPESI HUWEZI WEKA HALF TIME SARE..... HII MECHI IMENUNULIWA HALF TIME..... HAWAWEZI KURUDI VIKOSI VILE VILENDANI YA DAKIKA 10 GOLI 3.....
 
tayari 3+, mwenzangu na mimi sparta praha anaharibu mkeka.

niliicheza 3+..... Hii mechi ilikuwa hata na 5+..... Imenunuliwa half time hiii....
Kama unakumbuka nilitoa tip hapa watu wapige pesa mi mtaji zero...
Mexico 2&3+ matokeo yakibaki hivi au vyovyote mradi mexico ashinde
unabaki unamsubiri brazil 2&3+ .....point 6....20000=120000
 
Mexico karudishwa..... Kikosi ni cha kisenge sana....hii mechi hiii imeuzwa vibayaaaaaaa
 
wale tulio mcheza mexico tuanze kufunga swala..... hernandez nje...carlos vela nje...herrera wote wawili nje....yaani walioanza mkongwe fundi ni dos santos ....aseeeee hivi vikosi vingekua vinafahamika mapema watu wasingekuwa wanabet......

vela kaingia labda atafanya makeke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…