Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
Leo machaguo mengi mpaka mtu unachanganikiwa.
Na unaweza kukosa yote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo machaguo mengi mpaka mtu unachanganikiwa.
Leo machaguo mengi mpaka mtu unachanganikiwa.
England na Italy £50, liwalo na liwe
hii unapiga pesa mkuu, trust me
Sikuhizi wining naiogopa nacheza 2+. Mchana nimekula 5000 wameirudisha ilikuwa live in playwale tulio mcheza mexico tuanze kufunga swala..... hernandez nje...carlos vela nje...herrera wote wawili nje....yaani walioanza mkongwe fundi ni dos santos ....aseeeee hivi vikosi vingekua vinafahamika mapema watu wasingekuwa wanabet......
slovakia wananichania mkeka aiseeh, nimeweka total goals 2-3, wenyewe wanatia kambani tu, wanaongoza 2-0 sasa
Sikuhizi wining naiogopa nacheza 2+. Mchana nimekula 5000 wameirudisha ilikuwa live in play
mexico hata 2+ leo hatoi kazidiwa hatari.....
tayari 3+, mwenzangu na mimi sparta praha anaharibu mkeka.
wale tulio mcheza mexico tuanze kufunga swala..... hernandez nje...carlos vela nje...herrera wote wawili nje....yaani walioanza mkongwe fundi ni dos santos ....aseeeee hivi vikosi vingekua vinafahamika mapema watu wasingekuwa wanabet......
Mkuu mi sina tamaa leo nimeweka 2+ mwanzo mwishomexico hata 2+ leo hatoi kazidiwa hatari.....