Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu mi sina tamaa leo nimeweka 2+ mwanzo mwisho

zilikua napoint nzuri tu..... dah....3+ inavutia point....brazil anataka kufanya yake.....maana japan keshatoa....mexico keshatoa... bado nna safari ...portugal..german..france..na guseiley..... ila brazil...ni hatari
 
Mexico cocha wao ana matatizo ya akili, kafanya 9 changes kwenye kile kikosi cha juzi.
 
Hizi game za kirafik bora kudili na option ya magoli. Bora kesho game za kiafrika zipo kiushindani
 
Mexico cocha wao ana matatizo ya akili, kafanya 9 changes kwenye kile kikosi cha juzi.

mapemaaa game ilivoanza tu nilipost...... hii mechi imeuzwa..... hata kama ni mechi ya kirafiki....yaani fundi alikua dos santos na kipa aguillar tu.....wengine wote vitoto na mijitu isiyo na uzoefu..... MEXICO KAUA MAMILIONI YA WATU DUNIANI LEO.....HAKI YA MUNGU MECHI IMEUZWA.....
 
Daaaah Mexico jaman ni wewe wa kunifanyia hvi mimi, eeeh muhindi kanipiga za uso leo
.ila haina noma mkeka wa kwanza ndo umechanika hvyo.
 
sure bet ya kesho sijui leo, 18.11.2014

belarus vs mexico , mexico win odd 1.67 ,

weka hata milioni 2, mexico lazima ashinde

kichwaaa kinaumaaaaa kichwa kinaumaaaaaa
baaabaaaaa........ Uliweka millioni 2 braza..... Hata brazil naona leooooo......atatuliza wengi....kilio cha mexico kingenihusu ningekuwa na mtaji...... Pole mkuuu.....
 
Mamas mexico!!

Wakuu nalala,mkiona Brazil,Estonia,na Argentina zimeshinda mniamshe
 
kichwaaa kinaumaaaaa kichwa kinaumaaaaaa
baaabaaaaa........ Uliweka millioni 2 braza..... Hata brazil naona leooooo......atatuliza wengi....kilio cha mexico kingenihusu ningekuwa na mtaji...... Pole mkuuu.....
mammaaaa nimeliwa niliwapa slovakia, colombia na mexico nikatia laki2, Mexico kaniuaaa, haki ya nani gemu imeuzwa:hatari:

Belarus hana ubavu wa kuifunga timu yoyote ya south america , kiwango cha mpira fifa wako nafasi ya 106, hapa hata Tanzania tunaweza jipigia, leo hii Mexico amekaaa uuuwwwwiiii, ningetia mirioni 2 ningekuwa nasaga meno muda huuu inauma sana yani,
 
Estonia anashinda leo, Brazil anashinda Argentina mmmh
Mexico kafix mechi
 
Estonia anashinda leo, Brazil anashinda Argentina mmmh
Mexico kafix mechi

mkuu nilipoona tu kikosi nikatoa ripoti humu.... hii me chi ni fixed......NKASEMA WANGEKUA WANATOA VIKOSI MAPEMA HAKUNA AMBAYE ANGEBET HII MECHI.....
 
Nina mashaka na italy maana wale nao mafia gang hawachezi mbali na game za kirafik
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…