Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

ni vilioooo na kusaga menoooo brazil karudishwaaaaa ......uwiiiiii.......yelewiiiioo.......kyeruuuuu......
 
atakae kula leo ni bingwa mnoooo......yule wa 2+ hizooooo....... nasubiri moja aseeee.....niliweka 3+ manina walahi......
 
Hawa estonia si wafunge la 2 wanatupa ugonjwa wa tumbo

hii haikuwa gemu ya 2+ , hawa Estonia ni wabanaji wa kulinda goli lao na pia ushindi wao ni wakigoli kimoja tu.
mechi 12 zilizopita wameshinda 2-0 mara mbili tu, tena ni dhidi ya timu dhaifu ya Gibraltar na Tajikistani.
 
usa football timu ya siku hizi ni nyanya kweli, sio usa ile ya kina Donavan , watu wanajipigia tu.
 
dah....sa hivi ni game moja...irudishe tu faida..... niliweka 5000 ....nimepata 10000...... mtindo ndio huu...... ule mkeka wa 3+ unapumua bado.....
 
waliokuwa na mexico umekufa......wa peke yake umetiki...
 

Attachments

  • 2014-11-18--22_53_11.jpg
    15.5 KB · Views: 63
haya haya hayaaa kwa wale wajasiri,


chile vs ururguay, uruguay win odd 4.65

mali vs algeria , algeria win odd 4.65

total odds 20 points

weka single au double

on your own risk
 
haya haya hayaaa kwa wale wajasiri,


chile vs ururguay, uruguay win odd 4.65

mali vs algeria , algeria win odd 4.65

total odds 20 points

weka single au double

on your own risk

haziwatoshi.....labda kama kuna majeruhi.....Algeria 4.65 ..uruguay labda wanajuana wale na chile wapo kwenye form ...gg inawafaaa
 
romania 28+ imetoka bado gg za argentina na ya spain
sala za leo ni shida sana....
 
Wengi tulichojisahau ni kutengeneza mikeka kama vile timu zipo kwenye qualifying matches au world cup kumbe ni friendly tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…