Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

ONYOOO: USIMKIMBILIE ALGERIA KESHAPITA ANA POINT 15 HAFIKIWI NA YEYOTE..... MALI ANAPOINT 6 NA NDIO ANACHEZA NA ALGERIE TENA HOME KWÄO ....MALAWI ANAPOINT 6 ANACHEZA NA ETHIOPIE ADDIS ABABA....ETHIOPIE ANA POINT MOJA.... MALAWI AKISHINDA MALI AKASARE MALAWI ANAPITA...... ILI MALI AJIHAKIKISHIE KUPITA NI LAZIMA ASHINDE....HAPA KUNA UWEZEKANO MKUBWA WA KUFIX MATOKEO........ ni angalizo tu.....
 
france walipotoa 1-1 na albania nikawashangaa, ndio maana leo siku wawazia kabisaa.

kashinda moja.... kamtaji kangu uchwara ka 5000 kamefikisha 16000.... ASANTE BRAZIL...ENGLAND NA FRANCE..... SASA NO MATAMAAA..... MECHI MOJA MOJA....
 
Kale kadogo kasengerema cha ureno kilichofunga goli sijui kimetoka wapi.....mafii yake
 
naona hasa hivi kila mtu akichAnika anasingizi match fixing ...ebooo!!! kwani lazma mlee kila siku name kwan huwezi kula bila final ? eboo dawA sio kulalamika dawa no kutafuta solution... kuna michexo kibao ambayo haitegemei kuuzwA kwa me hi I.e I1+,1+1,2+,3+,H1+,A1+,0+0,GG/NG,n.k .

....me nadhani tusibet kwa mazoea,historia,1st 11, mapenzi,tetesi,na mkumbo..

tujifunze kuzidouble stake zetu (kwa option rahisi) hata kama stake yako ni buku usiidharau
MF .meridian a/c INA balance 2000 tu
ukiweka game 3 tu I1+ au 12 au 2+ pls chagua odds <1.35 kila Mona utapata 2.3... ukiweka 2000 utapata elf NNE na KTU
kesho yake ukaweka game 2 tu 1+1 au 3+au gg <1.70 kila moja =2.89 *40000= 11000
sasa hyo 11000 Fanya juu chini uidouble kwa option rahisi kila siku (maana kila siku at least 25 huchechezwa duniani jichagulia kadhaa so lazma ucheze big match) tena kwa mfumo huu kuliwa kupo ila so kwa kiasi kikubw na hata match ikiuzwa fixed kuathirika ni 20% tu.. kila SKU fixing zipo hasa utakuta MTU kaweka match 5 had 8 ikichana moja analalama...... #team kulalama
 
me ningependa .ss member wa jukwaa hill tuwe chama kimoja...tuangaliane wazalendo wa hili jukwaa then tupeane majukumu kila mmoja wetu kwa roho kunjufu atoe game 2 tu (naamini thread yetu ndiyo inaongozA kwA kujaza sever maana comment kila Leo na viewers wengi so ikitokea watu 5 walaus timu zao mbilmbil means timu 10 /day ) zikajadiliwa na kufanyiwa upembuz yakinifu ..yan game ichachambuliwe kulingana na uzito wake then tujadil option zitakazo tokea hata option zikiw kumi then kila MTU achukue yake imfaayo (itAtegemea uzoefu n
wa MTU mmojmmojA coz kila MTU anamawazo yake)MTU atajua achukue IPI alAf end of the macht tunaleta mrejesho... usione ufahari kusnip won ticket 1 wakat lost ticket 4 zip kwa dustbin.... t
tushare mawazo ..uchoyo na kusubiri nan kaweka mkrka nifate silently ndo mana hatufanikiwi ngooo...n mawazo ya madagadamdAshi au mtz huru. tchao
 
dah! humu ndani vilio ni vingo kuliko shangwe, mi acha niendeleze likizo yangu tu
 

mia mia mkuu....
 
England na Italy wamenipa £90 Sasa mzigo wooote naumimina ktk game Za weekend
 
Haya njooeeni tuiwaze hii game ya saa 11:30 AUSTRALIAN LEAGUE
 

Attachments

  • 1416377598900.jpg
    53.2 KB · Views: 84
  • 1416377621315.jpg
    52 KB · Views: 78
  • 1416377637929.jpg
    51.5 KB · Views: 79
&#128522;&#128522;&#128522;&#128522;&#128522;&#128522;&#128522;&#128522;&#128522;&#128522;&#128522;
We unaota kweli
 
Haya njooeeni tuiwaze hii game ya saa 11:30 AUSTRALIAN LEAGUE

Mechi 8 zao zilizopita H2H wametoa GG mechi 2 ..NG MECHI 6.... WAMETOA 3+ mechi 1 .....wametoa 2+ mechi 5 .....wametoa 0-2 mechi 2.... CENTRAL kawin mechi 3 ...WEST kawin mech 3 ...wametoa sare 2.... ila sasa msimu huu west mechi 5 zilizopita kapigwa zote....hii ndio mechi yake ya kwanza home anaweza kukaza..... Central nae mechi 5 zilizopita kadraw 1... kawin 1 kapigwa 3......
 
Kubet GG only nimeona ni ujinga......
Sasa hebu tazameni hii tip yangu ya game ya saa 11:30 asubuhi...hii
 

Attachments

  • 1416381968356.jpg
    49 KB · Views: 105
  • 1416381983119.jpg
    49.2 KB · Views: 96
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…