Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,017
- 18,537
Third quarter katikati mpaka 4th quarter yote inaisha website ilizingua, nikisubmit ticket ilikuwa inasema "no shift". Nimebadili internet provider kama watatu bado ikawa hivyo hivyo. Saa hizi ndo naona iko powa.
ona walichonifanyia hawa jamaaa...... quarter ya 3....ndio imeninyima..... 38...49...ya mwisho wametoa 48....embu ona ya 3...... si uhuni huuu
Ndo kamali mkuu, unaweza kudhani ni Vitual Games, wanaangalia mzigo mkubwa uko over au under wanabadlili matokeo.
Hafu trend ya hizi quarters naonaga kama ya 3 ina misbehave mara kwa mara.
leo ndio sichezi tena.....ligi tofauti na nba...europa challenge....korean....ugiriki...na turkey na spain..... sichezi tenaaaaa.....
Ha ha ha! Mi nasemaga hivyo hivyo hafu nacheza 100 (mia mia) kutest bahati nakula. Nikitia mzigo mkubwa wanabeba.
Wachina ndo balaa, usiguse wale jamaa, nadhani magoli yao ni mapana na mafupi maana wanafunga kinoma.
Ha ha ha! Mi nasemaga hivyo hivyo hafu nacheza 100 (mia mia) kutest bahati nakula. Nikitia mzigo mkubwa wanabeba.
Wachina ndo balaa, usiguse wale jamaa, nadhani magoli yao ni mapana na mafupi maana wanafunga kinoma.
hahahah eti magoli mapana na mafupi
CEO, si mchezo hawa watu, wanapiga points mpaka 260 kwa game, quarter moja kuwa na 70-80 sio ajabu kwao. Ila hapo hapo unaweza kukuta quarter nyingine ina 34-40, hawako consistent kabisa.
Bilbao,djon jumla odds 3. Weka hata nyumba ya urithi...
nyumba ya urithi noma!
Nyumba ya urithi noma!
dijon sawa ila bilbao ni kama kioo chenye matundu....
bilbao last week walimuua sevila nadhani bado wana makali
haya jamani mechi za kwanzia kesho mpaka jmosi..... Kazi kwenu.......utajua pesa utakayo weka au timu utakayo punguza ila hii ni special kwa makabwela wenzangu
Raimundo Wachina ndo balaa said:nimewapa shandong na shanghai quarter ya mwisho under 54.5..... tuone sasa magoli mapana mafupi.........hawajafika 53 hata quarter moja.....
nimewapa shandong na shanghai quarter ya mwisho under 54.5..... tuone sasa magoli mapana mafupi.........hawajafika 53 hata quarter moja.....
Umejilipua, mi siwataki kabisa wachina.
wameishia 35....***** ...nimerudisha nlioliwa na waustralia....