Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Third quarter katikati mpaka 4th quarter yote inaisha website ilizingua, nikisubmit ticket ilikuwa inasema "no shift". Nimebadili internet provider kama watatu bado ikawa hivyo hivyo. Saa hizi ndo naona iko powa.

ona walichonifanyia hawa jamaaa...... quarter ya 3....ndio imeninyima..... 38...49...ya mwisho wametoa 48....embu ona ya 3...... si uhuni huuu
 
Attachments

  • 2014-11-21--11_13_50.jpg
    2014-11-21--11_13_50.jpg
    7.3 KB · Views: 91
ona walichonifanyia hawa jamaaa...... quarter ya 3....ndio imeninyima..... 38...49...ya mwisho wametoa 48....embu ona ya 3...... si uhuni huuu

Ndo kamali mkuu, unaweza kudhani ni Vitual Games, wanaangalia mzigo mkubwa uko over au under wanabadlili matokeo.

Hafu trend ya hizi quarters naonaga kama ya 3 ina misbehave mara kwa mara.
 
leo ndio sichezi tena.....ligi tofauti na nba...europa challenge....korean....ugiriki...na turkey na spain..... sichezi tenaaaaa.....
 
Ha ha ha! Mi nasemaga hivyo hivyo hafu nacheza 100 (mia mia) kutest bahati nakula. Nikitia mzigo mkubwa wanabeba.

Wachina ndo balaa, usiguse wale jamaa, nadhani magoli yao ni mapana na mafupi maana wanafunga kinoma.
 
hahahah eti magoli mapana na mafupi
 
si niliapia jana...baada ya kutengeneza pesa.... wakaichukua hivihivi mchana..... kisabuni nkaama nba nkarudisha mpaka 28..... nkasema aah acha nijaribu hawa 3000 nipate 4890...maana ilikua uhakika.....shida nilikua ofisini sikuangalia nilokua nafanya yangu na madenti..... sasa narudi hivi duh.... afu games zikawa wameshaondoa hata ya kui cancelisha hamna......nkachangia mshindi.....
 
hahahah eti magoli mapana na mafupi

CEO, si mchezo hawa watu, wanapiga points mpaka 260 kwa game, quarter moja kuwa na 70-80 sio ajabu kwao. Ila hapo hapo unaweza kukuta quarter nyingine ina 34-40, hawako consistent kabisa.
 
HAPO NDIO RAHA YA LIGI ULIOIZOEA...... WAKITOKA 50 QUATER 1..... UNAWEZA PREDICT MATOKEO MARA NYINGI WANAKUWA HAPO HAPO -5 AU +5..... unaotea vizurii ila hawa sasa ....kama kina cha ZIWA VICTORIA HAPA MAJI YA GOTI HATUA MBILI MAJI YA SHINGO ....PEMBENI KIDOGO MAJI YA KIUNO.....HAWAELEWEKIIIII..... BORA 3000 NGEENDA KUPIGA USUPU WA SANGARA....
 
haya jamani mechi za kwanzia kesho mpaka jmosi..... Kazi kwenu.......utajua pesa utakayo weka au timu utakayo punguza ila hii ni special kwa makabwela wenzangu

hamna kufa moyo.....unamtoa melbourne......alieua unaweka tena buku....
 
Raimundo Wachina ndo balaa said:
nimewapa shandong na shanghai quarter ya mwisho under 54.5..... tuone sasa magoli mapana mafupi.........hawajafika 53 hata quarter moja.....
 
Back
Top Bottom