prediction za leo itakuwa hivi
:cardiff vs aston villa tutegemee magoli zaidi ya moja yaani over 1.5
:southampton pia unaeza kumpa ushindi au kutakuwa na magoli zaidi ya moja yaani over 1.5
:chelsea mechi itakuwa ngumu kwake ila ushindi lazima kutokana form waliyonayo na nafasi wanayoshika japo westbrom ni wasumbufu kwa timu kubwa.
:fiorentina anacheza na udinese mechi ya kwanza fiorentina alifungwa so leo anahitaji ushindi wa goli nyingi na udinese ni mbovu kwenye beki tutegemee magoli mengi kwenye mechi hii yani over 1.5 japo over ya 2.5 pia inaweza patikana.
Borrusia dortmund na frankfurt hapo wanakutana kwenye dfb pokal. Dortmund lazima ashinde kutokana na hili kuwa kombe pekee ambalo anategemea hasa ukiangalia kwenye ligi amepoteza mwelekeo tayari. Baada ya kumpiga werder bremen goli nne nashauri dortmund apewe ushindi.
Ligi zingine inshort:
lille vs caen- lille ushindi
benfica vs sporting- over 1.5
montpellier vs caen- montpellier ushindi
atletico na realmadrid- magoli zaidi tutegemee kutokana na atletico kuhitaji magoli baada ya kichapo cha mechi ya bernabeu wiki iliyopita.
#Anagalia odd zenye market na possibility#