Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

sure bet

Lille vs PSG , PSG win odd 1.71
Sopron vs Debrecen, Debrecen win odd 1.57
Alloa Ahtletic vs Rangers, Rangers win odd 1.3
Celtic vs Patrick thistle, Celtic win odd 1.17

total odd 4.08
 
Asante sana Liverpool, Man U, Swansea. Mmenitoa hadi 50$. Leo Arsenal, Chelsea, City, everton napata 51 kwa 8$

fanya umtoe arsenal.... kisha chukua dau lako... 8$ X POINT ZA ARSENA(1.8)=14.5$ KUONDOA MAWAZO RETURNS INARUDI PALEPALE..... NI USHAURI TU
 
CHELSEA WIN
MAN CITY WIN
EVERTON WIN
ODDS 3.15.... weka hata 5000 .....upate mtaji 15,750/=...... sizidishi mechi 3 kuanzia leo tuone sasa....kila siku timu moja tu ni usengerema
 
CHELSEA WIN
MAN CITY WIN
EVERTON WIN
ODDS 3.15.... weka hata 5000 .....upate mtaji 15,750/=...... sizidishi mechi 3 kuanzia leo tuone sasa....kila siku timu moja tu ni usengerema

yap yap huu mkeka hata mie nilikua nauwazia
 
CHELSEA WIN
MAN CITY WIN
EVERTON WIN
ODDS 3.15.... weka hata 5000 .....upate mtaji 15,750/=...... sizidishi mechi 3 kuanzia leo tuone sasa....kila siku timu moja tu ni usengerema

Mkuu vp madrid na arsenal
 
Kuna jamaa kasema alikamatwa akiwa ameenda kituo cha Meridia kuchukua hela .
Je ina maana hawa watu hawana kibali ya kuendesha michezo hiii au michezo hii ya betting imenyimwa kabisa nchini ?

Mmmh kazi ipo tena kubwa bora mie ambae natumia mpesa, kufanya deposit na withdraw.
Kule madukani kwao watu wengi sana
 
yap yap huu mkeka hata mie nilikua nauwazia

Kuna umakini sana unatakiwa kwa game ya Mancity nimefatilia sijaona kama Sunderland kafungwa kwao na mancity huwa wanatoa draw-tena kama sikosei mara ya mwisho walitoa draw ya 2-2. Na uliona chelsea alivyo hustle Sunderland kwao ni shida.
 
city kaisha gain momentum na kitu kingine tim kubwa zikiamua kuforce ushindi zinaweza
 
Hi I ni pesa live
 
Attachments

  • 1417608690534.jpg
    28.2 KB · Views: 117
dUH ..NIMEWACHEZA WACHINA MTU KAPEWA UNDER/OVER 236, 224, 240...nkasemaaa aaargh kitu gani achan niwajaribu under wote hawa hawa watatu..... duh quarter moja watu wana 70 mwengine 67 ..... nkaona hapana acha niwafatilie kwanza.... la mama yake... yaani kumbe ndio kimbilio la wachezaji wengi wa NBA.... CBAinalipa vizuri almost kama NBA.... young talents wakongwe wengi wanakimbilia huko aseeee..... hata NBA 70 per quarter hawafiki..... nshaliwa hii....sasa kama mtu anaenda half ana 133 (katika 134 si kabakisha 101).... anaenda half 122(katika 224 si kabakisa 102).... kimahesabu za uso tayari....
 
Napenda sana basket bt sielewi
 
huko ndo alitakiwa hashim aende
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…