mathematics
JF-Expert Member
- Feb 21, 2012
- 3,322
- 1,110
Hapo unatupia 50,000 hafu unalala kabisa, matokeo unaangalia asubuhi baada ya kunywa chai.
Dah, dogo wa Big Brother Idris kavuta usd 300,000/-, kashatoka huyu mazima.
du? Kama milion 500 na ushee.. Azilete huku kilingeni 100 tumrudishie 150 ndani ya mwezi
Hivi hamna mababu wa kutusaidia kutabiri game? Maana mbinu za kawaida zinaleta shida na presha!
Unachagua game tano unampa anakuzungushia washindi wewe unaenda kutia mzigo.
kuna dogo anasema eti kuna babu unampa ile karatasi ya set ...anailoweka ikikauka mechi za win tu ndio zinabaki...zingine zote zinafutika.....nimechekaaaaajeeeeee
Hivi hamna mababu wa kutusaidia kutabiri game? Maana mbinu za kawaida zinaleta shida na presha!
Unachagua game tano unampa anakuzungushia washindi wewe unaenda kutia mzigo.
habari wakuu, ni kuanzia kiasi gani inabidi niwe nacho m-pesa ili nitume kwenda meridian?
Wakuu ligi ya ujeruman ukicheza magoli inalipa sana.... wiki ya tatu hii 3+ na GG znatoka sana....
kweli ujeruman na uholanz ni mwendo wa gg na 3+
WAFATE SASA UTAFURAHI........ hiyo ni kamari....sio guaranteee.....