Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hapo unatupia 50,000 hafu unalala kabisa, matokeo unaangalia asubuhi baada ya kunywa chai.

nataka nifanyie utafiti hii kitu, timu moja yenye odd kubwa lakini uwezekano wa kushinda upo, ebu angalieni hii trend..

3.06.2014 Olympiakos vs PAOK , PAOK win odd 6 , STAKE 200,000/= ---bet won

5.06.2014 Dortmund vs Hoffeinma, hoffeinman win odd 6 , STAKE TSH 200,000/= --- bet lost

6.06.2014 Newcastle utd vs Chelsea , newcastle win, odd 7, STAKE 200,000/= ----bet won

7.06.2014 Palmeiras vs Atletco PR , Atletco PR win odd 7.5 , STAKE 200,00/= --- bet pending
 
Dah, dogo wa Big Brother Idris kavuta usd 300,000/-, kashatoka huyu mazima.
 
natabiri hapo atletico PR wanashinda 2-0

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
du? Kama milion 500 na ushee.. Azilete huku kilingeni 100 tumrudishie 150 ndani ya mwezi

Hivi hamna mababu wa kutusaidia kutabiri game? Maana mbinu za kawaida zinaleta shida na presha!

Unachagua game tano unampa anakuzungushia washindi wewe unaenda kutia mzigo.
 
Hivi hamna mababu wa kutusaidia kutabiri game? Maana mbinu za kawaida zinaleta shida na presha!

Unachagua game tano unampa anakuzungushia washindi wewe unaenda kutia mzigo.

kuna dogo anasema eti kuna babu unampa ile karatasi ya set ...anailoweka ikikauka mechi za win tu ndio zinabaki...zingine zote zinafutika.....nimechekaaaaajeeeeee
 
kuna dogo anasema eti kuna babu unampa ile karatasi ya set ...anailoweka ikikauka mechi za win tu ndio zinabaki...zingine zote zinafutika.....nimechekaaaaajeeeeee

Ha ha ha! Mtafute huyo babu aisee, ufanye test.
 
hahahaha nimecheka sana hamna cha babu hapo utaenda atakuambia wega mzigo unachezea za uso tu.Akili yako ndio mtaji wako akili ikikutuma mpe fulani fanya hivyo utawin.
 
Hivi hamna mababu wa kutusaidia kutabiri game? Maana mbinu za kawaida zinaleta shida na presha!

Unachagua game tano unampa anakuzungushia washindi wewe unaenda kutia mzigo.

mababu wa mjini wapigaji tu
 
Dah,.nanishunuru kimtoko cha ijumaa hadi jpii kimeokoa mpungawangu maana Chelsea angetokomea nasalio langu lote..
 
Wakuu ligi ya ujeruman ukicheza magoli inalipa sana.... wiki ya tatu hii 3+ na GG znatoka sana....
 
Attachments

  • 1418019732531.jpg
    1418019732531.jpg
    56.6 KB · Views: 118
habari wakuu, ni kuanzia kiasi gani inabidi niwe nacho m-pesa ili nitume kwenda meridian?
 
Back
Top Bottom