Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Man U wameniuza
Niliwapa 2&NG 4.9 nikiamini angeshinda 0-1
30000 yangu imepotea 😢😢😢😢😢😢
 
Wale wa live game NBA naona Meridian kashaanza mambo yake ya kikuda.
 
huyu wala hana mahesabu mazuri angekuwa anaweka laki laki, angepata mil2 kwa miln4.8.

Upo sawa ila kwa mimi ni mahesab mazur sababu mtaji wangu ni mdogo sana..... hzo laki laki nakiachia wewe kwa sasa ila mtaji ukikua ntaanza kuweka.....
 
Upo sawa ila kwa mimi ni mahesab mazur sababu mtaji wangu ni mdogo sana..... hzo laki laki nakiachia wewe kwa sasa ila mtaji ukikua ntaanza kuweka.....

Tupia mkeka hapa tuthaminishe, ukikubali nakurushia vocha mkuu.

Wangu nitaurusha kama saa kumi na moja, nafanya upembuzi yakinifu kwanza.
 
Tupia mkeka hapa tuthaminishe, ukikubali nakurushia vocha mkuu.

Wangu nitaurusha kama saa kumi na moja, nafanya upembuzi yakinifu kwanza.

ule wa 20000 nliweka juzi... ila usijal naweka yote miwili sasa hivi.....
 
Hii hapa mkuu... wa leo ntaweka baadae....
 
Attachments

  • 1418126467660.jpg
    37.6 KB · Views: 153
90% humu vilio daily... Pumzikeni hadi Xmas jamani. Muhindi atawaua
 
juventus vs atletico GG,
MONACOVS ZENIT ST PETERSBURG GG
 
Ma-investor naona leo tuko kwenye sherehe za Uhuru.
 
sure bet

22:00 Olympiakos Youth vs Malmo Youth, Olympiakos Youth win, odd 1.30
 
90% humu vilio daily... Pumzikeni hadi Xmas jamani. Muhindi atawaua

tunacheza jer-jero muhindi awezi ua mtu, yeye ndio atakufa siku analiwa miln 10 kwa jero. halafu hii ni starehe and fun kama wewe unavyotumia jero jero hizo kununua sigara and have fun kwa kuvuta. bora sisi tunaweza kula pesa kwa jero hiyohiyo ila wewe unazidi kujiua kwa jero yako mwenyewe kwa kununua sigara!
 
NkyaH ni mdau, kwa sasa amepumzika tu, mwenyewe anaongea hivyo huku anacheza kimoyo moyo, anarudi soon huyu.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…