lonewolf ranger
JF-Expert Member
- Feb 22, 2013
- 476
- 149
Ngoja niweke hela meridian, game ya Man draw, odd 3.3, natia 50,000/= naenda kulala.
mkuu umeamka?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja niweke hela meridian, game ya Man draw, odd 3.3, natia 50,000/= naenda kulala.
mkuu umeamka?
Wikend nlikula 20000 kws buku leo nmevuna 48000 kwa buku pia.... sio mbaya kwa kwangu....
Haya ndio mahesabu mazuri. BIG UP.
huyu wala hana mahesabu mazuri angekuwa anaweka laki laki, angepata mil2 kwa miln4.8.
Upo sawa ila kwa mimi ni mahesab mazur sababu mtaji wangu ni mdogo sana..... hzo laki laki nakiachia wewe kwa sasa ila mtaji ukikua ntaanza kuweka.....
Tupia mkeka hapa tuthaminishe, ukikubali nakurushia vocha mkuu.
Wangu nitaurusha kama saa kumi na moja, nafanya upembuzi yakinifu kwanza.
Hii hapa mkuu... wa leo ntaweka baadae....
90% humu vilio daily... Pumzikeni hadi Xmas jamani. Muhindi atawaua
Hii hapa mkuu... wa leo ntaweka baadae....
NkyaH ni mdau, kwa sasa amepumzika tu, mwenyewe anaongea hivyo huku anacheza kimoyo moyo, anarudi soon huyu.tunacheza jer-jero muhindi awezi ua mtu, yeye ndio atakufa siku analiwa miln 10 kwa jero. halafu hii ni starehe and fun kama wewe unavyotumia jero jero hizo kununua sigara and have fun kwa kuvuta. bora sisi tunaweza kula pesa kwa jero hiyohiyo ila wewe unazidi kujiua kwa jero yako mwenyewe kwa kununua sigara!
Juve,olimpiakos,dotmund na livapool