Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

CEO hapo unatupia ngapi? Maana mimi ni mshabiki wa Liverpool, sichezi game zake, ila pia nawatahadharisha kumpa Liver.

Pia kwenye Juve mpe 1x!

odds ni 5 kwnye m-bet voda.. Nataka nijilipue hata buku 10
 
Jamani kuna hii hapa ina odds 3.91, weka hata vitu vya ndani kama kochi, fridge, kabati na mtungi wa gas, kula ni uhakika.

Jamani kuna hii hapa ina odds 3.91, weka hata vitu vya ndani kama kochi, fridge, kabati na mtungi wa gas, kula ni uhakika.

View attachment 209394

hahahah umenikumbusha game ya madrid na dotmund, supa mario baloteli alisema madrid ikipita anamweka demu wake rehani kwa wachezaji wa madrid. Goli zilipoanza kurudi ilibidi azime tv kwa presha
 
hahahah umenikumbusha game ya madrid na dotmund, supa mario baloteli alisema madrid ikipita anamweka demu wake rehani kwa wachezaji wa madrid. Goli zilipoanza kurudi ilibidi azime tv kwa presha

Jamaa hata worldcup alisema anataka kiss ya Malkia ili kuwasaidia England kupita.

Kilichotokea hata Italy hakusonga mbele.

Kwenye huo mkeka mtoe Olympiakos, weka timu nyingine.
 
Jamaa hata worldcup alisema anataka kiss ya Malkia ili kuwasaidia England kupita.

Kilichotokea hata Italy hakusonga mbele.

Kwenye huo mkeka mtoe Olympiakos, weka timu nyingine.

bado ana nafasi akishinda halaf juve akipigwa atakua kafuzu coz uefa tim zikilingana point wanachek head to head
 
Leo Siku ya kutengeneza hela statistics zipo wazii kabisaa
 
Mkuu labda wewe umeniquote vibaya.. mimi pia ni mdau mkubwa hapa ila niko likizo mpaka xmas season. Kama wewe ni wale wa jero kwa milioni endelea tu na kila la kheri
 
Mtoto wa nzi Lakers vs Sacramento, Sacramento kapewa odd 2.5, hii imekaaje, nataka kulipuka naye.
 
Last edited by a moderator:
nilimuua liver, ameelekea kibra karibu kufa, sijui kafufukia wapi! pumbaf zake Gerad!
ningejua ningeweka X2&2+ au X2&(0-3)
lakini ndio hivyo ningejua huja baadaye sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…