Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Naongea kwa herufi kubwa
×××🙌🙌kama jana uli-bet na hujala pesa ya zaidi ya 50000+ jua wewe hutowahi kula tena mpaka mwaka huu uishe maaana nyota yako itakuwa ya paka....
 

Hapo sasa ndipo ndoa za watu zitakapovunjika..,, :lol:

jamii ya kitanzania bado hawajui kuwa bahati na sibu (betting) ni biashara kama biashara zingine.

hahah cha msingi kuepusha yote ktk acount tuwe tunaacha mtaji tu

Watu hawasemi acc za benki, ije hizi za betting?
 
📯📯📯📯📯📯📯📯📯📯📯📯jaaaamaaaaani 📣📣📣📣📣📣📣📣📣📣📣📣
amkeni hela hiii hapa
 

Attachments

  • 1418276950521.jpg
    51.7 KB · Views: 162

Haaaha mkuu hiyo haikuwa college kweli.?
 
Daah nimekula 40000 bila kuumiza kichwa..matimu wala siyajui ila nilijua yatafungana tu magoli mengi kipindi cha kwanza
 

Attachments

  • 1418303368404.jpg
    63.7 KB · Views: 166
  • 1418303393890.jpg
    10 KB · Views: 148
  • 1418303404521.jpg
    6.1 KB · Views: 144
wakuu betting kuna ela ya bure basi tu nikukosa pesa au kutokuamua kuweka pesa mingi, tenga weka mirioni kama mtaji ule wastani wa laki 5 kila wiki...!!

mfano

sure bets

12.12.2014 Almeria - Real madridi , madrin win, odd 1.18
13.12.2014 Getafe-Barcelona, Barcelona win , odd 1.2

kwa wiki sure bets hazikosekani 2 hadi 5

sure bets ni zile ukiangalia tu unajua nani mshindi,
 

Hyo sio lazma washinde nililiwa laki mbili hivyo hivyo ile gem barca anapigwa na celta vigo akiwa home
 
Likizo imeisha narudi mzigoni leo... hebu nitupieni mechi za usiku za pesa wakuu. Basketball au soccer
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…