Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

dah... timu ya mwisho kwenye mkeka wangu alikua Real Madrid amenitolea cap safi kabisa juzi buku tano (5000) imezaa (47800) kwenye mkeka wa mega mix niliweka buku tatu (3000) imezaa ....169,000 nimeweka timu 12 tano za uefa ,tabo za europa ba mbili za ligi ambazo ni Lyon na R madrid ambayo ndio timu pekee niliyoipa cap kesho wa kwanza kabisa naanza na CHELSEA.
 
mkuu uwe unatupia humu tips zako, sharing is caring
 
atakuambia ujazitolea jasho!

Ndio nisipoelewa hapo, kama mtu unaumivu kichwa kutafuta statistics kwenye vyanzo mbalimbali karibu siku nzima ili ushinde, Tena hujadhulumu au hata kuiba pesa yote umeipata kiuhalali na uka0na badala ya kunywea p0mbe kwanini usiinvest labda inaweza kurudi. Afu mtu anakuja hapa simply tu anasema kamari halamu.
 
daaah jamani leo arsenal afe tu kwa nguvu zozote wengine tuneemeke..odd 7 si mchezo..plz wenger panga watoto wako ntakupendajeeee ukifungwa
 
Leo, Chelsea
Southampton
Newcastle
Gent,

Mwingine huu hapa

Namuua Dortmund na Bayern
Barca nae namuua
 
M-BET kuna mechi ya SIMBA 2.15 YANGA 2.80..... WANANTAMANISHA ASEEEEE..... IKOJE HAPA.....
 
M-BET kuna mechi ya SIMBA 2.15 YANGA 2.80..... WANANTAMANISHA ASEEEEE..... IKOJE HAPA.....

Mtani jembe matokeo dakika 90 ni draw! Mshindi kabisa atakua Simba after extra time.

NB: Usinichukulie siriaz sana maana mimi ni mshabiki wa Simba.
 
Bayern munich 1.25
valencia 1.41
southampton 1.67
man city 1.42
odd 4.179 ......ikoje hapo mazeee nijulipue mbet ..maridian inazingua
 
ukitaka kuweka mzigo kwenye corner na yellow card unafanyaje?..
nataka kujua uktaka kuweka over/under unaangalia pale palipo wekwa H alf kwa chini namba. ndo unasema over/under io namba?
shukran investors.
 
jamani msaada...mie huwa nabet(meridian) kwakutumia old version leo nimejaribu kwenye new version nikaipenda coz inakupa option nyingi hapo hapo ila tatizo ukishamaliza ni vipi inaingiza kiasi(amount)naku submit tiketi.
 
Back
Top Bottom