dah... timu ya mwisho kwenye mkeka wangu alikua Real Madrid amenitolea cap safi kabisa juzi buku tano (5000) imezaa (47800) kwenye mkeka wa mega mix niliweka buku tatu (3000) imezaa ....169,000 nimeweka timu 12 tano za uefa ,tabo za europa ba mbili za ligi ambazo ni Lyon na R madrid ambayo ndio timu pekee niliyoipa cap kesho wa kwanza kabisa naanza na CHELSEA.
mkuu uwe unatupia humu tips zako, sharing is caring
atakuambia ujazitolea jasho!
Leo nimemuua arsenal na Dortmund
mi nimemuua arsenal na bayern....kudadadadadekiLeo nimemuua arsenal na Dortmund
M-BET kuna mechi ya SIMBA 2.15 YANGA 2.80..... WANANTAMANISHA ASEEEEE..... IKOJE HAPA.....
M-BET kuna mechi ya SIMBA 2.15 YANGA 2.80..... WANANTAMANISHA ASEEEEE..... IKOJE HAPA.....
Bayern munich 1.25
valencia 1.41
southampton 1.67
man city 1.42
odd 4.179 ......ikoje hapo mazeee nijulipue mbet ..maridian inazingua
mi nimemuua arsenal na bayern....kudadadadadeki
mi nimemuua arsenal na bayern....kudadadadadeki