Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

jamani msaada...mie huwa nabet(meridian) kwakutumia old version leo nimejaribu kwenye new version nikaipenda coz inakupa option nyingi hapo hapo ila tatizo ukishamaliza ni vipi inaingiza kiasi(amount)naku submit tiketi.

unaingiaje new version?
 
jamani msaada...mie huwa nabet(meridian) kwakutumia old version leo nimejaribu kwenye new version nikaipenda coz inakupa option nyingi hapo hapo ila tatizo ukishamaliza ni vipi inaingiza kiasi(amount)naku submit tiketi.

kwan meridian imefunguka.
 
wakuu nataka jilipua milioni kwa schalke04 vs fc koln, odd 1.75
 
jaman nataka kujilipua lak mbili cap ya man city na barcelona naomben ushaur.
 
Mi ndo naanza betting leo!!!!!
Nimeanza na.mikeka ya jero jero na buku kwa matazamio!!!
asrams na wengine thenkyunii
 
Last edited by a moderator:
Dah Southampton, Bayern, Shalke mmenirudisha step 100 nyuma
 
lnauma sana...yaani pa1 nakuamka sa8 usiku nakupitia takwimu huku nikifanya mchanganyiko wa aina yake katika gemu za leo bado nimenoa!!
 
schalke 04 hawafai, sitawasamehe, di matteo pumba.f zake
southampton naye ndio ajiandae kuporomoka, kumbe hamna kitu mule!
 
Ludogorets,Ajax,Juventus,Celtic,Dinamo Zagreb,P A O K,Panathinaikos,Salzburg,Sevilla,Anderlecht,Emelec,Sporting,Bolivar
Wawekezaji naomba mnisaidie hapa...yupi mwenye mashaka nimtoe.......nataka niweke elfu thelathini.
 

Attachments

Psv win Bayen leverkusen win vfl wolfsburg win atletico madrid win sevilla win na feyenoord win kuna wa kutolewa hapo wadai nataka kutia kamzigo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…