Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

mzeee jana kanila mtaji woooote 50000 cash..
nilitupia mkeka humu asubuhiiiii....nilikua nasafiri kuja DAR..... nkabet asubuhi kabisa...nkatupia humu
KAIZER CHIEFS
SOUTHAMPTON
CHELSEA
....sikuangalia matokeo mpaka nafiia dar saa5 ..usiku.... .nkakuta kaizer kawin ..chelsea anaongoza kuja kwa soton duh..... bila bila halftime....kucheki kikosi..... NKAKOMET HUKU SOTON ANATUUA
sasa leo nkipigwa jamani likizo rasmi
LEVERKUSEN WIN
SCHALKE 04 WIN
LIVERPOOL WIN
ODDS 9.7

Bursaspor A2+
Inter baku H2+
Real siciedad H2+
Tia mzigo
 
Leverkusen
Liverpool
Shalke
Anderletch
Fc Brugge
Toternham
 
Mkuu wala usiwe na wasi wasi, hao MBET wapo makini, lazima wakutumie mpunga wako, sema mimi hivi karibuni wamekula hela yangu nyingi tuu *****, nauwawa na tim moja moja. Daaaah!!
 
tatizo niliwapigia simu nawauliza vipi wananiambia mechi uliyobeti umeshindwa wakati mimi ndio nimebeti na matokeo nimeshinda nikashangaa sana

kama umepatia utalipwa kama umekosea ndoumeliwa yaan hao hawana shda
 
Swali:meridian ukishinda online live bet..hela unaipataje kwenye account?..maana niliweka yote sasa nataka nibet gamezingine live salio halionekan.
 
nashukuru jana kamtaji nilipata leo nimetupia kama ifuatavyo:
CERCLE BRUGGE WIN
BOR-MONCHENGLABACH WIN
OLYMPIAKOS PIRAEUS WIN
CHAVES WIN
PSG WIN
PANTHRAKIKOS WIN
LIVERPOOL WIN.TSH 300,861/= NDO NASUBIRIA.
 
Tsh 66,922/=
veria win
borussio dortmund win
olympiakospiraeus win
schalke win
eibar win
worcester utd win.
 
Kamkeka ka harakaharaka
supersport utd win
black aces win
orlando pirates win.
 
B-) tujaribu hii
 
Attachments

  • 1418844634464.jpg
    1418844634464.jpg
    40.3 KB · Views: 144
mzeee jana kanila mtaji woooote 50000 cash..
nilitupia mkeka humu asubuhiiiii....nilikua nasafiri kuja DAR..... nkabet asubuhi kabisa...nkatupia humu
KAIZER CHIEFS
SOUTHAMPTON
CHELSEA
....sikuangalia matokeo mpaka nafiia dar saa5 ..usiku.... .nkakuta kaizer kawin ..chelsea anaongoza kuja kwa soton duh..... bila bila halftime....kucheki kikosi..... NKAKOMET HUKU SOTON ANATUUA
sasa leo nkipigwa jamani likizo rasmi
LEVERKUSEN WIN
SCHALKE 04 WIN
LIVERPOOL WIN
ODDS 9.7

matokeo yabaki hivihivi...nirudishe 50 yangu.....
 
wakuu kwenye DSTV channel gani inaonyesha NBA....?msaada tafadhali
 
Leo timu 5 tu, weka hata gari, Besiktas win, Trabzonspor win, zamalek win, napoli win, ajax win
 
Wadau nina mikeka 2 ya elf 96 jana nilimuweka brazil ( w) vs china (w) nikampa brazil odd ya 1.37 Against 8.sasa jana game iwehairishwa inacheza leo.naombeni ushauri niisubiri hi game nilambe elf 96 au niipotezee nikachukue elf 48
 
Bora kupata kidogo kukiko kukosa kabisa. Kafate hela yako mapema
 
Back
Top Bottom