abour
JF-Expert Member
- Apr 8, 2014
- 735
- 309
Ningependa kuanza kuweka mzigo pia. Juzi nilifungua account na Meridian. Wadau nijuzeni, hivi kuweka hela kwenye account utaratibu wake upo vipi. Na je mkeka ukikubali utaratibu wa kupata huo mshiko upo vipi.
Account itajaa yenyewe..then mpango wakutoa itachagua ww