Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Jaman naombeni msaada wenu mi ni mgen kwenye masuala ya kubet lkn napenda sana kujihusisha nayo,nimejaribu kujiunga kwenye m-bet mpaka hatua ya mwisho ila nikashindwa kwny kumbukumbu namba,sasa naombeni msaada wanu jamani.
Na kama kuna betting zingine mnielekeze jaman napenda sana hayo mambo.
 
Ingia www.meridian.co.tz..au watembelee wahindi popote ulipo wapoB-)
 
Wadau nina mikeka 2 ya elf 96 jana nilimuweka brazil ( w) vs china (w) nikampa brazil odd ya 1.37 Against 8.sasa jana game iwehairishwa inacheza leo.naombeni ushauri niisubiri hi game nilambe elf 96 au niipotezee nikachukue elf 48

Nakushauri iachehela izae..fanya kama umeipoteza vile kesho ukila usinisahau hata jero..hahahaa
 
..atakae kula tuonane paleee,.toroka uje pub.
 
Attachments

  • 1418888355561.jpg
    1418888355561.jpg
    25.4 KB · Views: 137
Wadau za asubuhi,eti life span ya mkeka wa meridian-hasa shoppers ni muda gani?

KUNA TICKET NILIWAHI KAA NAYO TAKRIBAN MIEZ MBILI NA NIKAPEWA HELA....
na sasa ivi niko tikiti ya 27 nov 2014
Na subiri game ya derby ya mwezi wa pili mwakani nipige 378000
 
KUNA TICKET NILIWAHI KAA NAYO TAKRIBAN MIEZ MBILI NA NIKAPEWA HELA....
na sasa ivi niko tikiti ya 27 nov 2014
Na subiri game ya derby ya mwezi wa pili mwakani nipige 378000

Mmmh,.mbaba we mbayaaa.!!
 
Jaman wenye akili na basket njoon huku maana leo nimekalia pabaya..kila nikitumbukiza mzigo napigwa zauso..over na under na kama inahela tatzo sjaijulia..mwenye uzoefu nahuu mchezo jamani aje huku maisha yasoka yashakua magumu
 
Mapemaaa..nikala zauso
 
Attachments

  • 1418899180460.jpg
    1418899180460.jpg
    38 KB · Views: 155
Mechi ya Atletical umeiweka ina odds ya 1.01, ni bora usiiweke timu yenye odds za hivi kwa sababu ukiitoa unapata returns zile zile wakati inaweza kukupotezea mkeka.

Karibu sana.

Asante kwa ushahuri maana wengine ndiyo tunaanza
 
Leo timu 5 tu, weka hata gari, Besiktas win, Trabzonspor win, zamalek win, napoli win, ajax win
[TABLE="class: lay1, width: 610"]
[TR="class: match status_5 livegame ft LId_37811 KId_71 tv"]
[TD="class: status alt, align: center"]FT[/TD]
[TD="class: home, align: right"]Trabzonspor
[/TD]
[TD="class: result, align: center"]0-0 (0-0)[/TD]
[TD="class: guest"]Akhisar Bld.
[/TD]
[TD="class: info, bgcolor: #E1E6D2"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]

niliweka vogue nipate hummer kama ulivyonishauri....
 
Meridian bet ni wezi au hawataki tutoe pesa yetu tukiwala?? Nimetoa mzigo tangia saa 9 mchana mpaka sasa hakuna lolote.. Nikiingia kwenye account nakuta wameandika Balance yangu + Pesa niliyotoa, Kwa mfano 1000+(200). Sasa nashindwa kuwaelewe, kumbe wenzetu pia tukiwala wanaumia sana, mbona sie wanatupiga mara nyingi tu tunavumilia tunavumilia. Alafu nawapigia simu hawapokei.. Pumbaffuuu sana hawa
 
[TABLE="class: lay1, width: 610"]
[TR="class: match status_5 livegame ft LId_37811 KId_71 tv"]
[TD="class: status alt, align: center"]FT[/TD]
[TD="class: home, align: right"]Trabzonspor
[/TD]
[TD="class: result, align: center"]0-0 (0-0)[/TD]
[TD="class: guest"]Akhisar Bld.
[/TD]
[TD="class: info, bgcolor: #E1E6D2"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]

niliweka vogue nipate hummer kama ulivyonishauri....

Trabzonspor katoa droo
 
..atakae kula tuonane paleee,.toroka uje pub.

mkuundugu umebakiza sochaux na napoli...leo mi mtazamaji.....siku hizi principle nikila mkeka....natulia siku inayofata..... hesabu zangu ni faida iwe 10000 kwa siku....bhaaaasi
 
mkuundugu umebakiza sochaux na napoli...leo mi mtazamaji.....siku hizi principle nikila mkeka....natulia siku inayofata..... hesabu zangu ni faida iwe 10000 kwa siku....bhaaaasi

Kweli kaka,.leo nilimpiga 30,.asubuh tuu.sinikanogewa saahz najuta nshapulizwa 70 hvhv najitazama.
 
Ningependa kuanza kuweka mzigo pia. Juzi nilifungua account na Meridian. Wadau nijuzeni, hivi kuweka hela kwenye account utaratibu wake upo vipi. Na je mkeka ukikubali utaratibu wa kupata huo mshiko upo vipi.
 
Back
Top Bottom