Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Zali la mentali..
 

Attachments

  • 1392390045789.jpg
    1392390045789.jpg
    39 KB · Views: 96
Haya wadau leo vp??? Tushauriane ili kupunguza vilio after 90mins
 
Naona jana mhind kanipiga kwenye handcap but kwenye normal nimempiga...

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Kibanga ampiga mkoloni tokea apigwe na mdosi haonekani humu na prediction zake
 
Huu mchezo umekua mgumu sana kwangu kwa siku za karibuni......itabidi nipumzike kujipanga kumvua kanjibah.....
 
Back
Top Bottom