Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Leo nawaza kumpa everton,besktas,liver na fc zurich.kwa buku 3 unapata 52 hivi.
 
Besktas lazio napoli madrid na augsburg nimeamua kujilipua liwalo na liwe tu
 
Leo nmetoa mingi mingi akina fenerbahce,besikts,napoli,zurich lkn kwenye list tofaut
 
wadau katikati ya wiki muhindi alinipiga weekend nmeona bora nitulie nizichange kwa ajili ya UEFA
 
Nimebakiwa na €1 ya ngama, dah hata team moja kuchagua naogopa pia@
 
zurich,anaongoza,granada tayari,besktas analead. bado liver amdunde arsenal nimdake kanjibah
 
Back
Top Bottom